Mfanyabiashara wa mbao Mafinga afikishwa Mahakamani kwa ukwepaji Kodi

Mfanyabiashara wa mbao Mafinga afikishwa Mahakamani kwa ukwepaji Kodi

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Ila Tanzania kuna viongozi waajabu na vituko!

Hivi mbona atujawahi kusika wafanyabiashara wengine tena wakubwa ambao wanamichezo ya kukwepa kodi wakifikishwa mahakamani?

Au wananjia zao za kutoa kodi?
===============
Mfanyabiashara wa Mbao, Bw. Moses John Madege, mkazi wa mjini Mafinga amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mfawidhi wa mkoa wa Iringa, akituhumiwa kwa makosa ya ukwepaji kodi ambapo imedaiwa mbele ya Hakimu Mkazi fawidhi Japhet Manyama, kuwa kati ya mwaka 2022 na 2024 mfanyabiashara huyo mkazi wa mafinga amekuwa akitoa taarifa za uwongo kwa mamlaka hiyo na kusababisha hasara ya bilioni mbili na nusu.

Katika Mahakama ya Hakimu mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya mkoa wa Iringa Japhet Manyama, ambako imedaiwa kuwa mtuhumiwa Moses John Madege, amekuwa akifanya udanganyifu kwenye uwasilishaji wa ritani za biashara yake kwenye mfumo wa mamlaka ya ukusanyaji wa kodi nchini TRA kinyume na kifungu cha themanini na nne kifungu kidogo cha kwanza 'B'cha sheria ya usimamizi wa kodi sura namba mia nne 38 marejeo ya mwaka 2009.

 
Zebedayo mtoza ushuru...
Hivi yule Ontario walimkamata huko amechoropoka?

 
Nchi ni yetu, maliasili ni zetu, sheria na ubavu ni zao, ukielewa haya huwezi kuhangaika kujiuliza maswali kama haya, uhuru unahitajika.
 
Back
Top Bottom