Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Nenda kaulize polisi alipoHuyo atafanya kosa gani la kuweza kuhujumu uchumi??
Wakati vichwa vya jf vipo anapiga tu hela akitakaHuyo atafanya kosa gani la kuweza kuhujumu uchumi??
Tapeli tu Moja la mjinindio nani huko Iringa
Nenda kaulize kituo Cha polisi alipoKosa gani la kuhujumu uchumi amefanya?
Yawezekana alikuwa anauzia wakulima mbolea feki, au alikuwa anaiba mafuta ya transfoma, au alikuwa anachapisha noti bandia, au anaendesha upatu was kutapeli watuHuyo atafanya kosa gani la kuweza kuhujumu uchumi??
Utapeli sio kosa la kuhujumu uchumi, Mwamposa angedakwa kama ingekuwa ndio hivyoTapeli tu Moja la mjini
Basi kawaulize mahakamani kisutu ndio anapelekwa Kwa Hilo kosa la uhujumu uchumiUtapeli sio kosa la kuhujumu uchumi, Mwamposa angedakwa kama ingekuwa ndio hivyo
Anapelekwa kisutu Leo nenda kaulizeAmefanya nini? Kosa lake ni lipi? Tuelezee vizuri au mtu kachoma A/c yake huko kamshikia kidedea.
Umeleta habari ambayo haijakamilika ndio maana nauliza kiongozi, ila majibu unayotoa si mazuri..Nenda kaulize kituo Cha polisi alipo