Vijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi.
Hivi hili rika letu lina nini cha kuhujumu nchi? Kijana ndo kwanza unajitafuta kimaisha ila kutokana na mambo tu ya kisiasa mmetofautiana unatafuta kesi popote pale ili mradi...
Jamaa kadakwa kizembe sana kama kuku kwenye mtego wa pumba nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga humu. Sasa ni zamu yake ONTARIO mahakamani.
Anahamishiwa Kisutu leo.
Vijana fanyeni kazi halali, acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja.
Huyu kawa wa mfano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.