Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Anapelekwa kisutu nenda kaulizeUmeleta habari ambayo haijakamilika ndio maana nauliza kiongozi, ila majibu unayotoa si mazuri..
Anapelekwa kisutu nenda kaulizeUmeleta habari ambayo haijakamilika ndio maana nauliza kiongozi, ila majibu unayotoa si mazuri..
Ni tapeli Fulani hivi alikua anapiga pesa za wajinga maana tanzania wajinga wanazaliwa Kila sikuSir Jeff kama kakamatwa haitakuwa kwa sababu yotote ile nyingine zaidi ya matumizi ya VPN kuiunga mkono #NoReformNoElection kupitia Twitter. Namsifu na kumpongeza kwa kujipambanua kama kijana jasiri anayelitetea Taifa lake hata kwa kuyasadaka maisha yake
Mkuu haya majibu ndio yanasababisha unakosa mme..Anapelekwa kisutu nenda kaulize
Mbona matusi unastress za maisha magumu au maana nimekuambia nenda kisutu ndio anapopelekwa unataka nikuelezee Mimi ndio nilie mkamata auMkuu haya majibu ndio yanasababisha unakosa mme..
Tainakyo naiyamu....Iwe kasigazi toina magezi
Acheni wivu na fikra za Kimaskini kuwachukia wanaofanikiwa. Sir Jeff ni kijana mpambanaji, mwenye ujasiri na akili ya kuona mkate pale wajinga wengi wanapoona maweNi tapeli Fulani hivi alikua anapiga pesa za wajinga maana tanzania wajinga wanazaliwa Kila siku
Miye nipo Iputi malinyi ndani ndani sina taarifa zake. Maelezo ya kushosha basi bestiAnapelekwa kisutu Leo nenda kaulize
Alifanya nini?Ishu kua against na serikali wala sio kuhujumu uchumi...tuliokua mtandao wa X hili watakubali.
Nomanya obusigazi bwa JF nitwekola tuina magezi kumbe bufwela mnoTainakyo naiyamu....
nadhani zile nyuzi za kiharakati alizokuwa anatwiti zimemponza. Dah pole yake aiseeHuyo atafanya kosa gani la kuweza kuhujumu uchumi??
Haya maneno nilishawahi kuyasikia kwenye wimbo wa Soggy Dogg.Yana maana gani?Iwe kasigazi toina magezi
Sasa kuna shida gani ukisema tu 'sifahamu' au 'habari zaidi zinakuja', wewe unatuambia twende kituo cha polisi, acha dharau..Mbona matusi unastress za maisha magumu au maana nimekuambia nenda kisutu ndio anapopelekwa unataka nikuelezee Mimi ndio nilie mkamata au
Ni chuki tu, za mleta mada.Utapeli sio kosa la kuhujumu uchumi, Mwamposa angedakwa kama ingekuwa ndio hivyo