Kwani Mimi nimekuita hapa mbona kama kichwani kwako kumejaa mavi na sio ubongoSasa kuna shida gani ukisema tu 'sifahamu' au 'habari zaidi zinakuja', wewe unatuambia twende kituo cha polisi, acha dharau..
hakuna mtu amesema anataka umbea wako..
Unaelewa nini kuhusu uhujumu uchumi?Huyo atafanya kosa gani la kuweza kuhujumu uchumi??
Umekuja kuleta umbeaJamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Achana nae kama humjuiSir Jeff a.k.a Ontario ndiye nani? si wote tunamjua
Huyo ni muhujumu uchumi full stopNi chuki tu, za mleta mada.
Siku za hivi karibuni Jamaa alikuwa anaipiga pin CCM na serikali.
Pia na ku-promote agenda ya #NoReformsNoElection
Baada ya siku kadhaa akaeleza kuwa alikuwa akifuatiliwa na gari fulani lakini pia kutumiwa meseji za vitisho.
Ikapita siku moja hajapost chochote Twitter, watu wakaanza kuhoji, hatimaye leo ndio imekuwa confirmed kuwa alichukuliwa na polisi kutoka mafinga anapokuwaga mara nyingi kwa shughuli zake za mbao...na kupelekwa kilwa road police, na kwamba muda wowote atafikishwa kizimbani kwa kesi ya uhujumu Uchumi.
Anakosoa hadharaniAlifanya nini?
Hata kukwepa kulipa kodi ni uhujumu uchumiKosa gani la kuhujumu uchumi amefanya?
We jamaa nikilaza SanaHaya wale aliowatapeli hapa Jf nao waende wakadai haki zao
Utapeli pia inahitaji ujasiriAcheni wivu na fikra za Kimaskini kuwachukia wanaofanikiwa. Sir Jeff ni kijana mpambanaji, mwenye ujasiri na akili ya kuona mkate pale wajinga wengi wanapoona mawe
Mbona wewe hujakamatwa sasa ??Hata kukwepa kulipa kodi ni uhujumu uchumi
Kafanikixa kwako kwangu Mimi namuona ni choka mbaya tuAcheni wivu na fikra za Kimaskini kuwachukia wanaofanikiwa. Sir Jeff ni kijana mpambanaji, mwenye ujasiri na akili ya kuona mkate pale wajinga wengi wanapoona mawe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mkuu haya majibu ndio yanasababisha unakosa mme..
Huyo jamaa ni gharashaMbona wewe hujakamatwa sasa ??
Usiipangie mamlakaKesi ya uhujumu uchumi baada ya kuunga mkono kampeni ya No reforms na election!Walikuwa wapi kutimizi wajibu wao kipindi chote hicho akifanya utapeli