Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Wewe mbona umeleta taarifa hapa badala ya kusubiria mahakamani Kisutu??Basi kawaulize mahakamani kisutu ndio anapelekwa Kwa Hilo kosa la uhujumu uchumi
Wewe mbona umeleta taarifa hapa badala ya kusubiria mahakamani Kisutu??Basi kawaulize mahakamani kisutu ndio anapelekwa Kwa Hilo kosa la uhujumu uchumi
Nakubalina na wewe. Matapeli wako wengi. Naongeza mwingine: MakondaUtapeli sio kosa la kuhujumu uchumi, Mwamposa angedakwa kama ingekuwa ndio hivyo
Sir Jeff amenikuta hapa JF. Na ninamfahamu hata nje ya hapa na nje ya kabisa ya mitandao. Nayajua hata mazao toka mikono yake e.g. Clinton M, Elikana, 360 Globex, etc.Unamjua sirjeff vizuri wewe?
Wanaomjua tangu akijiita Ontario hawatashangaa jamaa kukamatwa humu jamiiforum ashaliza watu kibao.
We umemjulia x juzi
Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Hili ni jambo la kawaida. Hata matapeli kama Makonda leo wakigeuka na kuipinga serikali watakamatwa.Kwa hiyo walimuacha mpaka alipoanza kuisema vibaya serikali ndio wakamchukulia hatua?
ukiwa na makandokando halafu unaikaikashifu serikali, ni haki kushugulikiwa , kama ilivyokuwa kwaIshu kua against na serikali wala sio kuhujumu uchumi...tuliokua mtandao wa X hili watakubali.
Sasa kusutu inafanya kazi leo jumamosi?Mbona matusi unastress za maisha magumu au maana nimekuambia nenda kisutu ndio anapopelekwa unataka nikuelezee Mimi ndio nilie mkamata au
Mwamposa amemtapeli nani ?Utapeli sio kosa la kuhujumu uchumi, Mwamposa angedakwa kama ingekuwa ndio hivyo
HUyu jamaa nimemjulia Twitter kila siku anasoaces zisizokuwa na kichwa wala mguuJamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Wakinamama na baadhi ya wanaume wajingaMwamposa amemtapeli nani ?
Sasa alipost kwa nini kama hana taarifa kamili? Jamaa hovyo kweliMwandishi umeandika habari yako kwa assumptions, halafu ukiulizwa maswali unajibu kwa kejeli, ni aina fulani ya ulimbukeni na kutokuwa matured, kama habari yako haieleweki na hutaki maswali, wala huna haja ya kuleta kiherehere hapa cha ku post vitu useless!
Wewe umeshaenda kudai dera lako ?Haya wale aliowatapeli hapa Jf nao waende wakadai haki zao
Wamewahi kuripoti wapi kwamba wametapeliwa ?Wakinamama na baadhi ya wanaume wajinga
Inonekana alishakulamba pesa ndefu maana unaandika kwa uchungu mnoAnapelekwa kisutu nenda kaulize
Maelfu ya watu, wengine 20 hadi walikufa wakikanyaga mafuta katika huo utapeli wake huko Moshi.Mwamposa amemtapeli nani ?
Basi wewe ni Moja wapo ya hao wajinga, umeleta habari kama tetesi then unaulizwa unatoa matusi na kusema waende kisutu.Ni tapeli Fulani hivi alikua anapiga pesa za wajinga maana tanzania wajinga wanazaliwa Kila siku
Sio tukaulize polisi!! Wewe ndio umeleta umbea haraka haraka bila kusikiliza vizuri, halafu unataka watu waende polisi!! Kama hutaki kuulizwa, ondoa huu ujinga wako.Nenda kaulize polisi alipo
KumanyokoUsiipangie mamlaka