Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Kijana ana siku tatu hajaingia X, ameingia kwenye mfumo, kumbuka! Ukikumbatia umeme bila viatu lazima upigwe short.
IMG_20250705_133222.jpg
Screenshot_2025-07-05-13-29-59-882_com.twitter.android.jpg
IMG_20250705_132913.jpg

Inawezekana NRNE imechangia.
 
Sio tukaulize polisi!! Wewe ndio umeleta umbea haraka haraka bila kusikiliza vizuri, halafu unataka watu waende polisi!! Kama hutaki kuulizwa, ondoa huu ujinga wako.
We ndio mjinga unaambiwa yupo polisi kaulize Unaogopa unataka nani akakuulizie
 
Huyu kesi yake ni ngumu sana ,alikusanya pesa kwa watu akishirikiana na Capital market broker wa south ambaye hakuwa broker halali ..kinyume chake alikuwa anachezesha kama upatu ,hapa ukitaka nitakufafanulia ,yaani alikuwa anapata faida baada ya kuwaingiza watu watapeliwe na huyo broker ...

Kumbuka broker wa Kipind hicho hakuwa amesajiliwa huko sauth hata hapa bongo so ni kosa ,sio kutrade forex bali ni kuwauza kwa broker tapeli.

Nakukumbusha ,ishu za pesa zina taratibu zake ..Kesi za kukusanya pesa isipokuwa kwa kufundisha watu ,kama huduma za mentorship ila kushiriki moja kwa moja kuwapeleka watu kwenye uwekezaji ni kosa ,ikiwa huo uwekzaji haufuati taratibu wa BOT ..
...
Siasa tu ishangia kati NYUMBU wa kijani wameamua kula nae sahani moja kisa NRNE
 
Hivi sir Jeff wa Twiraa ndo Ontario wa JF?

poleee yake mkaka mzuri, mbna sikua namuona ktk angle ya utapeli? Kuna jambo alinisaidia serious.

Duuh namuombea asikutwe na hatia, na atoke salama awe huru, kuendelea na maisha yake.

Kuna jambo lingine, ila wanasingizia uhujumu uchumi. 😢😢😢😢
 
Kuhujumu Uchumi unaweza kuambiwa haujalipa Kodi...; Kwahio kabla ya details zaidi kwa hili lililotokea sio vema kuanza kuitana wezi (Naongelea ulichosema hapa na binafsi simfahamu muhusika; naongelea neno kuhujumu Uchumi)
 
Jamaa kadakwa kizembe sana aisee nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Duh!...hakuacha tu?...
 
Kesi ya uhujumu uchumi baada ya kuunga mkono kampeni ya No reforms na election!Walikuwa wapi kutimizi wajibu wao kipindi chote hicho akifanya utapeli
Wanasemaga jinai haina ukomo...🙄🙄
 
Back
Top Bottom