-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 1,669
- 2,806
Imeisha hiyo
Unasumbuliwa na chuki pamoja na wivu....pambana ujitoe kwenye umasikini angalau uondokane na hiyo hali japo tabia ya mtu ni kama ngozi.Sir Jeff kama kakamatwa haitakuwa kwa sababu yotote ile nyingine zaidi ya matumizi ya VPN kuiunga mkono #NoReformNoElection kupitia Twitter. Namsifu na kumpongeza kwa kujipambanua kama kijana jasiri anayelitetea Taifa lake hata kwa kuyasadaka maisha yake