Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Nakushauri kijana:

KABLA HUJAAMUA KUJIINGIZA KUIPINGA SERIKALI, HAKIKISHA HAUNA MAKANDOKANDO KWENYE SHUGHULI ZAKO ZA KILA SIKU.

"Play Smart"
Kiongozi hata uwe umenyooka kama ruler, au uwe msafi kama malaika, serikali haikosi sababu yeyote ile ya kulala na wewe mbere kwa mbere...
Mimi naona cha msingi kama unakosoa na unajulikana basi we jitoe sadaka tu... au hakikisha una backup ya maana kama kina Lissu..

Lakini ukiona giza linazidi ujue kunakaribia kukucha..
 
Sir Jeff a.k.a Ontario ndiye nani? si wote tunamjua​

Wewe ni mgeni humu huyo jamaa aliiteka jf yote miaka ya 2018 yaani wazee kwa vijana wanawake kwa wanaume kwa ideas zake za biashara ila kilichotokea ni Mungu mwenyewe ndio anajua..ila yule ni genius sema basi tu nchi zetu hizi hazijui kuwatumia watu wenye iq kubwa.
 
😄 waliambiwa lkn hawakusikia
😄 wakakutana na kitu kizito

Ova
 
Wewe ni mgeni humu huyo jamaa aliiteka jf yote miaka ya 2018 yaani wazee kwa vijana wanawake kwa wanaume kwa ideas zake za biashara ila kilichotokea ni Mungu mwenyewe ndio anajua..ila yule ni genius sema basi tu nchi zetu hizi hazijui kuwatumia watu wenye iq kubwa.
angalia nina miaka mingapi humu, sema kila mtu ana interest zake according to threads posted. Mfano, sijawahi fungua thread ya mapenzi, mausiano na urafiki......... do you get me?
 
Wewe ni mgeni humu huyo jamaa aliiteka jf yote miaka ya 2018 yaani wazee kwa vijana wanawake kwa wanaume kwa ideas zake za biashara ila kilichotokea ni Mungu mwenyewe ndio anajua..ila yule ni genius sema basi tu nchi zetu hizi hazijui kuwatumia watu wenye iq kubwa.
Hana uginiasi wowote
 
Back
Top Bottom