Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Ni chuki tu, za mleta mada.

Siku za hivi karibuni Jamaa alikuwa anaipiga pin CCM na serikali.
Pia na ku-promote agenda ya #NoReformsNoElection

Baada ya siku kadhaa akaeleza kuwa alikuwa akifuatiliwa na gari fulani lakini pia kutumiwa meseji za vitisho.

Ikapita siku moja hajapost chochote Twitter, watu wakaanza kuhoji, hatimaye leo ndio imekuwa confirmed kuwa alichukuliwa na polisi kutoka mafinga anapokuwaga mara nyingi kwa shughuli zake za mbao...na kupelekwa kilwa road police, na kwamba muda wowote atafikishwa kizimbani kwa kesi ya uhujumu Uchumi.
Lengo asipate dhamana. Hii nchi ya ajabu sana.
 
Huyo jamaa kama humjui basi huko Mafinga ana mashamba yake ya miti ya mbao makubwa sana ...Ujinga alikuwa anashare location.
Huyu dogo alilazimisha umaarufu.
Niseme wazi mimi nilimjulia humu na nilikua batch no 2 pale Jangid Plaza mwaka 2017 kwenye ishu yake ya Forex. Na niseme tena, alinifungua katika ulimwengu ambao sikuujua hapo mwanzo.
Nimenufaika sana na mchongo wa fprex na bado nanufaika nao. Kwa sasa natrade pair moja tu. Focus yangu ipo zaidi kwa NASDAQ.

Anyway, kujiweka sana wazi katika nchi hii sio salama kabisa. Hata wale wakina Mwijaku ipo siku watajutia.
 
Si anajionqga yeye ndio ana IQ kubwa kuliko wote Tanzania sasa inakuwaje anazidiwa ujanja na alowazidi akili
 
Kumbe ni NO REFORMS NO ELECTION ndio imemkamatisha?
 
Huyu dogo alilazimisha umaarufu.
Niseme wazi mimi nilimjulia humu na nilikua batch no 2 pale Jangid Plaza mwaka 2017 kwenye ishu yake ya Forex. Na niseme tena, alinifungua katika ulimwengu ambao sikuujua hapo mwanzo.
Nimenufaika sana na mchongo wa fprex na bado nanufaika nao. Kwa sasa natrade pair moja tu. Focus yangu ipo zaidi kwa NASDAQ.

Anyway, kujiweka sana wazi katika nchi hii sio salama kabisa. Hata wale wakina Mwijaku ipo siku watajutia.
Sirjeff ni smart sana ,tatizo la jamaa dharau halafu ana makandokando kibao ...Wakimfungylia vault wanammaliza...Huu jamaa mkaka kadhaa alishawahi kupanga hostel kabisa ili afanye mishe zake ..

Maadui wanamuandama sana ,kule Instagram alikimbia.
 
Huyu jamaa arudishe fedha za aliowatapeli, hakuna kitu naheshimu kama fedha ya mtu. Naheshimu fedha ya mtu kabla ya fedha yangu mwenyewe.
Huyu kweli ana hizo shida lakini kilichopelekea Manjagu kumdaka mapema ni kua upande wa NRNE
 
nakumbuka ni juzi tu hapa alikuwa aki tweet X(Twitter) kuwa ameanza kupokea vitisho vya watu wasio julikana, yote ikiwa ni kwa sababu alianza kuikosoa serikali
I like the modus operandi of this "wasiojulikana gang".

Wanakuonya kwanza, mara ya kwanza, ya pili, ya tatu ni KISAGO.

Wakiona wewe ni tishio dogo wanakusweka korokoroni. Wakiona unazingua wanakuvunja kinyeo.

Kwa kweli wako smart. Wanafanya kazi procedurally.

Ndio hawa akina Lucas Mwashambwa na kijukuu chake ChoiceVariable
 
Kuwapiga watu kwa kupitia FOREX siyo uhujumu uchumi ,kutapeli watu siyo uhujumu uchumi bali ni WIZI WA KUAMINIWA ...

Kama ameshitakiwa kwa Uhujumu uchumi basi itakuwa si hayo niliyoayaeleza juu ,kwasasa ONTARIO anafanya biashara ya mbao huko IRINGA ,possible labda anakwepa kodi au hujuma kwenye biashara kwa kuuza NJE ya nchi bila kufuata utaratibu.

ONTARIO alitishiwa siku tano zilizopita na watu wasiojulikana kwamba siku zake zinahesabika akawa anawindwa na FARASI MWEUPE(Land Cruiser Mkonga Nyeupe) kila anapoenda ,juzi anaenda Mafinga na Juagar yake wakamdaka.

1751736123854.png
 
Kama ni kweli basi wameamua kumbambikizia hiyo kesi ili asichomoke, nakumbuka ni juzi tu hapa alikuwa aki tweet X(Twitter) kuwa ameanza kupokea vitisho vya watu wasio julikana, yote ikiwa ni kwa sababu alianza kuikosoa serikali ya hawa wauaji kwa mtindo wa kejeli na matusi.

Kuna mwanasheria wake ,sijui kama ameshatoa tamko lolote au laa!
Nitoe rai kwa vijana, hakuna anayeweza kushindana na serikali akashinda.

Kuna wakati ni vyema kukiri nguvu za mpinzani wako, tuache kudanganyana.

Matusi na kejeli kwa serikali haviwezi kutusaidia, tufanye kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu. Tutabarikiwa.

Kitu pekee kinachoweza kupigana na serikali ni serikali yenyewe, au serikali na serikali nyingine. Sio mtu. AU LABDA MUNGU AINGILIE KATI, which is very unlikely!

A government is a sophisticated state machinery. It is too powerful and organized to wipe out any threat metered against it. The earlier we acknowledge this the better.

Cc: Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
 
Kitu pekee kinachoweza kupigana na serikali ni serikali yenyewe, au serikali na serikali nyingine. Sio mtu.

A government is a sophisticated state machinery. It is too powerful and organized to wipe out any threat metered against it. The earlier we acknowledge this the better.

Cc: Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
"Siku zote ukishindana na mamlaka lazima utaumia" - Wallace Karia
 
Nitoe rai kwa vijana, hakuna anayeweza kushindana na serikali akashinda.

Kuna wakati ni vyema kukiri nguvu za mpinzani wako, tuache kudanganyana.

Matusi na kejeli kwa serikali haviwezi kutusaidia, tufanye kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu. Tutabarikiwa.

Kitu pekee kinachoweza kupigana na serikali ni serikali yenyewe, au serikali na serikali nyingine. Sio mtu. AU LABDA MUNGU AINGILIE KATI, which is very unlikely!

A government is a sophisticated state machinery. It is too powerful and organized to wipe out any threat metered against it. The earlier we acknowledge this the better.

Cc: Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
We ulichoandika ni utumbo . Vijana ukitaka kushindana na serikali hakikisha hauna kesi na wananchi wa kawaida. Hakikisha haujawahi kutapeli,kuiba wala kudhulumu watu. Kama ushawishi kudhulumu,kuiba au kutapeli hakikisha ushalipa madeni yako ya mzigo wa dhambi. Ukishindana na serikali halafu una makando makando uliowadhulumu, uliowatapeli na uliowaibia wataisaidia serikali ikunajisi. Wapo walio tayari hadi kutoa hela ya mafuta ya gari. Polisi wanauza hadi ngumi hauwezi amini 😂😂😂.
 
Back
Top Bottom