Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Ilikuwa swala la muda tu, kwa utapeli alioufanya miaka ya karibuni ikiwepo kuwapiga pesa nyingi wanaojiita Great thinker wa JF
 
Ata we umeona eehh... yan ukionekana mtu wa influence kwa watu afu uonekane na mdomo kwa serikal wanakutia ndan

Alikua kauli zake anakwmby ye akiamka ata bila kujua kama ana d*ck au hana ye anasema No reform no election 😂 Ukiichokoza serikal uwe na maficho
Huko twitani amekuwa akiidis serikali ya sa100, uhujumu uchumi ni funika-kombe tu.
 
20250705_162040.jpg
 
Ishu kua against na serikali wala sio kuhujumu uchumi...tuliokua mtandao wa X hili watakubali.
ye si anatakaga influence na watu.. awe na kikund chake cha siasa , kwamba ata serikal haimshindi kwa IQ kubwa😂 serikal wanamuonesha kaz
 
Sir Jeff amenikuta hapa JF. Na ninamfahamu hata nje ya hapa na nje ya kabisa ya mitandao. Nayajua hata mazao toka mikono yake e.g. Clinton M, Elikana, 360 Globex, etc.

Jeff ni mwanadamu kama binadamu wengine hivyo hawezi kukosa madhaifu. Lakini penye sifa yake mpe. Tatizo WaTz tumetekwa na roho ya kupenda umaskini na kutaka iwe hivyo hivyo hata kwa wengine. Hatupendi wanaofanikia na tuna kasumba ya kuchukia na kudogosha mafanikio ya wengine. Hii ni roho mbaya sana. Si ajabu ndo maana pamoja na nchi kuwa na utajiri wa rasilimali bado wananchi wengi wanadidimia kwenye tope la umaskini
😂😂 sa umeongea nn apa umeanza vzur unamalizia na ujinga , hatujakuomba uuongelee umaskini ongelea mada
 
Jamaa kadakwa kizembe sana aisee kama kuku nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga humu Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Huyu ndio shemeji yake Nifah , walisumbua sana JamiiForums enzi zao
 
Hivi sir Jeff wa Twiraa ndo Ontario wa JF?

poleee yake mkaka mzuri, mbna sikua namuona ktk angle ya utapeli? Kuna jambo alinisaidia serious.

Duuh namuombea asikutwe na hatia, na atoke salama awe huru, kuendelea na maisha yake.

Kuna jambo lingine, ila wanasingizia uhujumu uchumi. 😢😢😢😢
No reform ya huko tweeter ndio ime mponza
 
Ata we umeona eehh... yan ukionekana mtu wa influence kwa watu afu uonekane na mdomo kwa serikal wanakutia ndan

Alikua kauli zake anakwmby ye akiamka ata bila kujua kama ana d*ck au hana ye anasema No reform no election 😂 Ukiichokoza serikal uwe na maficho
Sasa huko ndo wanamwonyesha d*ck ni muhimu kwanza kabla ya yote....
 
Jamaa kadakwa kizembe sana aisee kama kuku nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga humu Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Unapochoka na kulala Serikali hailali haichoki ipo kazini saa 24
 
Jamaa kadakwa kizembe sana aisee kama kuku nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga humu Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Jina lake kamili.
 
Back
Top Bottom