Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Huko twitani amekuwa akiidis serikali ya sa100, uhujumu uchumi ni funika-kombe tu.
Hapo ndipo alipobugi classmate, ukiwa mtu wa michezo michafu , serikali achana nayo
 
Yule jamaa olluchuga akipata hizi taarifa na ukizangatia alikuwa na kauli mbiu yake ya Ontario akamatwe afungwe jiwe kubwa atupwe katikati ya bahari
 
Huyo atafanya kosa gani la kuweza kuhujumu uchumi??
Huyu humu JF hawawezi kumuhurumia kwa sababu alitushikilia akili kipindi fulani na mambo ya forex halafu mwisho wa siku akapotea ikaonekana amewatapeli wadau, sijui akaunti zikachomwa!

Binafsi nilikuwa namfuatilia sana, nikawa motivated na stori zake za upambanaji.

Sidhani kama atazungumziwa kwakweli au kupata support ya wadau, kuna hatari Ontario akapambana na watu wake wa karibi katika kesi hii!
 
Jamaa kadakwa kizembe sana a kama kuku kwenye mtego wa pumba nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga humu Sasa ni zamu yake kutapeliwa mahakamani anahamishiwa kisutu leo vijana fanyeni kazi halali acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja huyu Kawa wa mfano
Sema acha akamatwe anajiona kila kitu anajua pale X
 
Hivi sir Jeff wa Twiraa ndo Ontario wa JF?

poleee yake mkaka mzuri, mbna sikua namuona ktk angle ya utapeli? Kuna jambo alinisaidia serious.

Duuh namuombea asikutwe na hatia, na atoke salama awe huru, kuendelea na maisha yake.

Kuna jambo lingine, ila wanasingizia uhujumu uchumi. 😢😢😢😢
Kesi za uhujumu uchumi wakiamua uozee jela simple tu kila siku inapigwa tarehe hata miaka kumi
 
Huyo jamaa kama humjui basi huko Mafinga ana mashamba yake ya miti ya mbao makubwa sana ...Ujinga alikuwa anashare location.
Ana akili kubwa lakini kuna vitu anazingua , Siasa achana nazo kama mtafutaji, waachie wenye kazi zao kama kina Lissu
 
Hii inchi ukitamka hadharani kuwa no reform no election moja kwa moja utapewa kesi ya kuhujumu uchumi au uhani asee
 
Bora kukamatwa kwa uhujumu uchumi enzi za Magufuli maana DPP wa wakati ule alihitaji tu hela na pia mara nyingi hawakuwa na ushahidi wa kutosha.. ilikuwa ubabe mwingi. Ila kwa sasa kabla hujakamatwa wanakuwa na ushahidi mwingi... na mbaya zaidi hata hela yako hawatataka.. sheria itafuatwa. Mashahidi upande wa jamhuri wanaweza wekwa 60 na kwa mwaka wanasikilizwa watatu. Vijana fuateni ushauri wa DIVISHENI FOO
 
Jeff hana biashara iliyonyooka. Ujanja mwingi. NRNE ni sababu ya kutaka huruma za wananchi na kujisafisha. Hata hapa kwenye huu uzi kuna ng'ombe zinamtetea.
NRNE ni ya wanainch kumbe maana kama alianza kutafuta hiyo huruma kwa Wanainch
 
NRNE ni ya wanainch kumbe maana kama alianza kutafuta hiyo huruma kwa Wanainch
Hata CHADEMA ni wananchi. Ikumbukwe CHADEMA wana uzoefu mkubwa wa kuwasafisha watu wenye tuhuma za uovu hasa ufisadi na uhujumu uchumi.
 
Moja kati ya nyuzi za kijinga kuwahi kusoma mwaka huu hapa jf sijui unaendeshwa na chuki au roho mbaya na husda kwa walio fanikiwa hyo maswala ya utapeli since 2017 lakin hakuna aliye enda polisi kushtaki ametapeliwa kama ni kuchoma acc ni baina yko wew na broker maybe unamuongelea kondeberry yule dada wa come to ma bedroom aliyetapeli 100mlns
 
Back
Top Bottom