Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,728
- 3,958
Mimi pia natrade GJ mara chache sana.Mkuu mambo ya NASDAQ ni kwenye stocks huko? hiyo pair ni ipi? hii 2017 tulikuwa na GBPJPY sterling.
Ila NASDAQ ndio inayonipa hela.
Mimi pia natrade GJ mara chache sana.Mkuu mambo ya NASDAQ ni kwenye stocks huko? hiyo pair ni ipi? hii 2017 tulikuwa na GBPJPY sterling.
Niseme tu hii nchi ukiwa na akili na unaweza Kupiga pesa online piga kimyakimya tu haya mambo ya kujimwambafai kama Ontario aka sirjfeff yatakutokea puani. Kiukweli forex is real na wengi tunapiga pesa humo kimyakimya japo na kuchoma account kupo ndio safari ya forex ilivyo sio kesi sana. Ontario kosa lake kubwa ni kucheza na watu wakubwa aisee pale x,twitani jamaa anamajigambo sana na hasa lile gari lake Jaguar la 400 plus million za kitanzania ndio noma,yeye angeishi maisha yake low-key tu. Sema hii nchi ukijifanya malaika mwokozi itakula kwako wewe waache wapambane wenyewe na nchi Yao ushaona hata matajiri wakubwa kama bakhresa na mo dewji na kina Zakaria wanai disi serikali na wenye nchi Yao. Wapo kimya ndio Kwanza wanakula nao. Kama huwezi siasa nchi hii achana nazo sijui mambo ya NRNE ya nini. Kwanza kama mimi mpaka Leo sijui hata iyo kura huwa wanapigaje. Siwezi Kupiga kura na bado hata sijajipata Wala Sina muelekeo unashobokaje Kupiga kura waache watawale na wewe tawala maisha yako peacefully tu huku ukila Raha za dunia. Yule dogo hakosi zaidi ya Bitcoin mia Moja ka hold tu. Kinachomkwamisha ni kujifanya mwanaharakati. This world is cruel man,very cruel. Ngoja wamfinye akitoka huko na nchi anahama. Very stupid guy, though ni genius but also a fool one . Lakini pia ukweli usemwe yule sio tapeli ni hustler ni fighter mzuri,shida anajiona anazo akili nyingi. Kuna tofauti ya kuwa na pesa na kuwa na power na kuwa na IQ kubwa. Yote kuwa nayo lakini,mwenye power achana naye afanye yake . Kama kadakwa ishu ni kuzingua mamlaka.Huyu dogo alilazimisha umaarufu.
Niseme wazi mimi nilimjulia humu na nilikua batch no 2 pale Jangid Plaza mwaka 2017 kwenye ishu yake ya Forex. Na niseme tena, alinifungua katika ulimwengu ambao sikuujua hapo mwanzo.
Nimenufaika sana na mchongo wa fprex na bado nanufaika nao. Kwa sasa natrade pair moja tu. Focus yangu ipo zaidi kwa NASDAQ.
Anyway, kujiweka sana wazi katika nchi hii sio salama kabisa. Hata wale wakina Mwijaku ipo siku watajutia.
hahahaha qmmmmq dah
We nawe utatapeliwa kirahisi sana, Jaguar gani ya milion 400+ anamiliki? Jaguar anayomiliki si ile Jaguar series za XF mpaka mil 25 unaipata used from Japan?Niseme tu hii nchi ukiwa na akili na unaweza Kupiga pesa online piga kimyakimya tu haya mambo ya kujimwambafai kama Ontario aka sirjfeff yatakutokea puani. Kiukweli forex is real na wengi tunapiga pesa humo kimyakimya japo na kuchoma account kupo ndio safari ya forex ilivyo sio kesi sana. Ontario kosa lake kubwa ni kucheza na watu wakubwa aisee pale x,twitani jamaa anamajigambo sana na hasa lile gari lake Jaguar la 400 plus million za kitanzania ndio noma,
Kama hutojali unielekeze kuhusu NASDAQ.Mimi pia natrade GJ mara chache sana.
Ila NASDAQ ndio inayonipa hela.
😄 nmecheka kweri kweriWe nawe utatapeliwa kirahisi sana, Jaguar gani ya milion 400+ anamiliki? Jaguar anayomiliki si ile Jaguar series za XF mpaka mil 25 unaipata used from Japan?
Gari anayomiliki si ndio hii View attachment 3396682
Nenda Be forward kaangalie Jaguar XF zinaenda kwa bei gani uache kupangwa kwamba gari ni ya mil 400+
View attachment 3396684
We nawe utatapeliwa kirahisi sana, Jaguar gani ya milion 400+ anamiliki? Jaguar anayomiliki si ile Jaguar series za XF mpaka mil 25 unaipata used from Japan?
Gari anayomiliki si ndio hii View attachment 3396682
Nenda Be forward kaangalie Jaguar XF zinaenda kwa bei gani uache kupangwa kwamba gari ni ya mil 400+
View attachment 3396684
We jamaa acha matani unajua thamani ya Bitcoins 100 au unachekesha.Niseme tu hii nchi ukiwa na akili na unaweza Kupiga pesa online piga kimyakimya tu haya mambo ya kujimwambafai kama Ontario aka sirjfeff yatakutokea puani. Kiukweli forex is real na wengi tunapiga pesa humo kimyakimya japo na kuchoma account kupo ndio safari ya forex ilivyo sio kesi sana. Ontario kosa lake kubwa ni kucheza na watu wakubwa aisee pale x,twitani jamaa anamajigambo sana na hasa lile gari lake Jaguar la 400 plus million za kitanzania ndio noma,yeye angeishi maisha yake low-key tu. Sema hii nchi ukijifanya malaika mwokozi itakula kwako wewe waache wapambane wenyewe na nchi Yao ushaona hata matajiri wakubwa kama bakhresa na mo dewji na kina Zakaria wanai disi serikali na wenye nchi Yao. Wapo kimya ndio Kwanza wanakula nao. Kama huwezi siasa nchi hii achana nazo sijui mambo ya NRNE ya nini. Kwanza kama mimi mpaka Leo sijui hata iyo kura huwa wanapigaje. Siwezi Kupiga kura na bado hata sijajipata Wala Sina muelekeo unashobokaje Kupiga kura waache watawale na wewe tawala maisha yako peacefully tu huku ukila Raha za dunia. Yule dogo hakosi zaidi ya Bitcoin mia Moja ka hold tu. Kinachomkwamisha ni kujifanya mwanaharakati. This world is cruel man,very cruel. Ngoja wamfinye akitoka huko na nchi anahama. Very stupid guy, though ni genius but also a fool one . Lakini pia ukweli usemwe yule sio tapeli ni hustler ni fighter mzuri,shida anajiona anazo akili nyingi. Kuna tofauti ya kuwa na pesa na kuwa na power na kuwa na IQ kubwa. Yote kuwa nayo lakini,mwenye power achana naye afanye yake . Kama kadakwa ishu ni kuzingua mamlaka.
Nakubali 💯Sir Jeff amenikuta hapa JF. Na ninamfahamu hata nje ya hapa na nje ya kabisa ya mitandao. Nayajua hata mazao toka mikono yake e.g. Clinton M, Elikana, 360 Globex, etc.
Jeff ni mwanadamu kama binadamu wengine hivyo hawezi kukosa madhaifu. Lakini penye sifa yake mpe. Tatizo WaTz tumetekwa na roho ya kupenda umaskini na kutaka iwe hivyo hivyo hata kwa wengine. Hatupendi wanaofanikia na tuna kasumba ya kuchukia na kudogosha mafanikio ya wengine. Hii ni roho mbaya sana. Si ajabu ndo maana pamoja na nchi kuwa na utajiri wa rasilimali bado wananchi wengi wanadidimia kwenye tope la umaskini
Akitoka huko akili yake itakuwa imeshushwa kutoka IQ 260 ya Albert Einstein mpka IQ 0.005 ya konokono NYUMBU wa kijani hawafai wakitaka laoNiseme tu hii nchi ukiwa na akili na unaweza Kupiga pesa online piga kimyakimya tu haya mambo ya kujimwambafai kama Ontario aka sirjfeff yatakutokea puani. Kiukweli forex is real na wengi tunapiga pesa humo kimyakimya japo na kuchoma account kupo ndio safari ya forex ilivyo sio kesi sana. Ontario kosa lake kubwa ni kucheza na watu wakubwa aisee pale x,twitani jamaa anamajigambo sana na hasa lile gari lake Jaguar la 400 plus million za kitanzania ndio noma,yeye angeishi maisha yake low-key tu. Sema hii nchi ukijifanya malaika mwokozi itakula kwako wewe waache wapambane wenyewe na nchi Yao ushaona hata matajiri wakubwa kama bakhresa na mo dewji na kina Zakaria wanai disi serikali na wenye nchi Yao. Wapo kimya ndio Kwanza wanakula nao. Kama huwezi siasa nchi hii achana nazo sijui mambo ya NRNE ya nini. Kwanza kama mimi mpaka Leo sijui hata iyo kura huwa wanapigaje. Siwezi Kupiga kura na bado hata sijajipata Wala Sina muelekeo unashobokaje Kupiga kura waache watawale na wewe tawala maisha yako peacefully tu huku ukila Raha za dunia. Yule dogo hakosi zaidi ya Bitcoin mia Moja ka hold tu. Kinachomkwamisha ni kujifanya mwanaharakati. This world is cruel man,very cruel. Ngoja wamfinye akitoka huko na nchi anahama. Very stupid guy, though ni genius but also a fool one . Lakini pia ukweli usemwe yule sio tapeli ni hustler ni fighter mzuri,shida anajiona anazo akili nyingi. Kuna tofauti ya kuwa na pesa na kuwa na power na kuwa na IQ kubwa. Yote kuwa nayo lakini,mwenye power achana naye afanye yake . Kama kadakwa ishu ni kuzingua mamlaka.
Aisee watu wa forex kuongeza 00 hawajamboWe nawe utatapeliwa kirahisi sana, Jaguar gani ya milion 400+ anamiliki? Jaguar anayomiliki si ile Jaguar series za XF mpaka mil 25 unaipata used from Japan?
Gari anayomiliki si ndio hii View attachment 3396682
Nenda Be forward kaangalie Jaguar XF zinaenda kwa bei gani uache kupangwa kwamba gari ni ya mil 400+
View attachment 3396684
😅😅😅"biashara ambayo hakuna benki itataka ujue...."
Hii biashara kiboko ngumu kama jiwe
Forex hakuna hela na inaharibu ubongo. Maana unajidanganya wewe mwenyewe kuwa kuna hela, wakati kila siku unapata loss. Muda unaotumia na pesa inayopata haiendani. Huyo Ontario mwenyewe mwaka jana 2024. Alitangaza kufungua darasa atafundishwa kupitia Zoom kule twitter 😂😂😂. Naona hapo umesema Jaguar mil 400 wakati brand new haifiki more than 200 m. Huyo dogo angekuwa na hata bitcoin mia moja angeshahama nchi. Leo hii anamlilia tajiri wa kihaya twitter amsaidie,😂😂😂😂. Kama Forex ina hela tushindane kuwahonga polisi. Ubaya wa Forex ni kujidanganya wakati ukweli unajua wewe mwenyewe moyoni mwako lakini unaukataa. Ukweli wenyewe ni kuwa Forex haina hela.Niseme tu hii nchi ukiwa na akili na unaweza Kupiga pesa online piga kimyakimya tu haya mambo ya kujimwambafai kama Ontario aka sirjfeff yatakutokea puani. Kiukweli forex is real na wengi tunapiga pesa humo kimyakimya japo na kuchoma account kupo ndio safari ya forex ilivyo sio kesi sana. Ontario kosa lake kubwa ni kucheza na watu wakubwa aisee pale x,twitani jamaa anamajigambo sana na hasa lile gari lake Jaguar la 400 plus million za kitanzania ndio noma,yeye angeishi maisha yake low-key tu. Sema hii nchi ukijifanya malaika mwokozi itakula kwako wewe waache wapambane wenyewe na nchi Yao ushaona hata matajiri wakubwa kama bakhresa na mo dewji na kina Zakaria wanai disi serikali na wenye nchi Yao. Wapo kimya ndio Kwanza wanakula nao. Kama huwezi siasa nchi hii achana nazo sijui mambo ya NRNE ya nini. Kwanza kama mimi mpaka Leo sijui hata iyo kura huwa wanapigaje. Siwezi Kupiga kura na bado hata sijajipata Wala Sina muelekeo unashobokaje Kupiga kura waache watawale na wewe tawala maisha yako peacefully tu huku ukila Raha za dunia. Yule dogo hakosi zaidi ya Bitcoin mia Moja ka hold tu. Kinachomkwamisha ni kujifanya mwanaharakati. This world is cruel man,very cruel. Ngoja wamfinye akitoka huko na nchi anahama. Very stupid guy, though ni genius but also a fool one . Lakini pia ukweli usemwe yule sio tapeli ni hustler ni fighter mzuri,shida anajiona anazo akili nyingi. Kuna tofauti ya kuwa na pesa na kuwa na power na kuwa na IQ kubwa. Yote kuwa nayo lakini,mwenye power achana naye afanye yake . Kama kadakwa ishu ni kuzingua mamlaka.
Haina hela au wewe ndo unashindwa kuzichukua hizo kwenye hiyo forexForex hakuna hela na inaharibu ubongo. Maana unajidanganya wewe mwenyewe kuwa kuna hela, wakati kila siku unapata loss. Muda unaotumia na pesa inayopata haiendani. Huyo Ontario mwenyewe mwaka jana 2024. Alitangaza kufungua darasa atafundishwa kupitia Zoom kule twitter 😂😂😂. Naona hapo umesema Jaguar mil 400 wakati brand new haifiki more than 200 m. Huyo dogo angekuwa na hata bitcoin mia moja angeshahama nchi. Leo hii anamlilia tajiri wa kihaya twitter amsaidie,😂😂😂😂. Kama Forex ina hela tushindane kuwahonga polisi. Ubaya wa Forex ni kujidanganya wakati ukweli unajua wewe mwenyewe moyoni mwako lakini unaukataa. Ukweli wenyewe ni kuwa Forex haina hela.
Yaani mimi mwenyewe nashangaa bitcoin mia unaishi Mafinga na kula kwa mama nitilie,😳😳😳. Huku kunawatu kibao umewakimbia DSM kwa sababu ya utapeli . Bitcoin 100 huyu jamaa angekuwa ameshatambaa yupo Dubai.We jamaa acha matani unajua thamani ya Bitcoins 100 au unachekesha.
Nmecheka japo inasikitisha 😂😂😂 "its too much, too much"
Leta portfolio yako kubwa umepata 40 percent ya trade zako nikutafutie kazi Frankfurt watalipia hadi to tiketi ya ndege. Toka Deutsche bank watangaze ni mtu mmoja tu aliwasilisha portfolio. Uachane na retail forex uingie kwenye real forex za mabenki. Unapoteza muda na muda haurudi nyuma ukija kushtuka umeshachelewa. Mwalimu wenu(Sirjeff) juzi tu Dec2024 alitangaza anatafuta wanafunzi atafundisha kwa Zoom 😂😂😂😂.Haina hela au wewe ndo unashindwa kuzichukua hizo kwenye hiyo forex
Hapo jamaa ni Muongo angekua na Bitcoin tano usingemuona hata huko porini mafinga anatafuta mbaoYaani mimi mwenyewe nashangaa bitcoin mia unaishi Mafinga na kula kwa mama nitilie,😳😳😳. Huku kunawatu kibao umewakomboa DSM kwa sababu ya utapeli . Bitcoin 100 huyu jamaa angekuwa ameshatambaa yupo Dubai.
Basi taarifa itakuwa haikuhusuSir Jeff a.k.a Ontario ndiye nani? si wote tunamjua