Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Niseme tu hii nchi ukiwa na akili na unaweza Kupiga pesa online piga kimyakimya tu haya mambo ya kujimwambafai kama Ontario aka sirjfeff yatakutokea puani. Kiukweli forex is real na wengi tunapiga pesa humo kimyakimya japo na kuchoma account kupo ndio safari ya forex ilivyo sio kesi sana. Ontario kosa lake kubwa ni kucheza na watu wakubwa aisee pale x,twitani jamaa anamajigambo sana na hasa lile gari lake Jaguar la 400 plus million za kitanzania ndio noma,yeye angeishi maisha yake low-key tu. Sema hii nchi ukijifanya malaika mwokozi itakula kwako wewe waache wapambane wenyewe na nchi Yao ushaona hata matajiri wakubwa kama bakhresa na mo dewji na kina Zakaria wanai disi serikali na wenye nchi Yao. Wapo kimya ndio Kwanza wanakula nao. Kama huwezi siasa nchi hii achana nazo sijui mambo ya NRNE ya nini. Kwanza kama mimi mpaka Leo sijui hata iyo kura huwa wanapigaje. Siwezi Kupiga kura na bado hata sijajipata Wala Sina muelekeo unashobokaje Kupiga kura waache watawale na wewe tawala maisha yako peacefully tu huku ukila Raha za dunia. Yule dogo hakosi zaidi ya Bitcoin mia Moja ka hold tu. Kinachomkwamisha ni kujifanya mwanaharakati. This world is cruel man,very cruel. Ngoja wamfinye akitoka huko na nchi anahama. Very stupid guy, though ni genius but also a fool one . Lakini pia ukweli usemwe yule sio tapeli ni hustler ni fighter mzuri,shida anajiona anazo akili nyingi. Kuna tofauti ya kuwa na pesa na kuwa na power na kuwa na IQ kubwa. Yote kuwa nayo lakini,mwenye power achana naye afanye yake . Kama kadakwa ishu ni kuzingua mamlaka.
Acha ujinga Hilo ni tapeli
 
Leta portfolio yako kubwa umepata 40 percent ya trade zako nikutafutie kazi Frankfurt watalipia hadi to tiketi ya ndege. Toka Deutsche bank watangaza ni mtu mmoja tu aliwasilisha portfolio. Uachane na retail forex uingie kwenye real forex za mabenki. Unapoteza muda na muda hakurudi nyuma ukija kushtuka umeshachelewa. Mwalimu wenu(Sirjeff) juzi tu Dec2024 alitangaza anatafuta wanafunzi atafundisha kwa Zoom 😂😂😂😂.
🤣Acha porojo zako hizo wakati unawadirect wastaafu wapeleke kiinua mgongo kwa Ontario ulijaribu hata kudai hiyo 40% ili ujiridhirishe kabla ya kwenda kuwatia wazee wa watu pressure
Forex retail ni ngumu kuliko kawaida ndo maana na wewe ulishia kupigwa na mzee wa Jaguar umebaki unalia lia na kutaka kuja kumuua ukirudi abroad. Ungekumbuka kudai hiyo 40% sasa hivi usingekua unashindana kuhonga mapoti
Forex retail hailipi bora ukalime lakini nikishindwa mimi haina maana kwa mwingine haiwezekani
 
Etu tuwekee habari kamili tuelewe uyo ni nani na kafanya nini na huwa anajihusisha na nini.,

Maana sio wote tunamjua na kwakua uzi huu umeiweka humu basi tunahaki ya kuelezwa maelezo ya uhakika.

Kwakua hii habari umeiweka ww bas una wajibu na ni haki yetu kutuelezea uyo ni nani na hii sio umbea ni habari uloweka ww hatujakuomba umeweka mwenyewe kwa mapenzi yako.
 
Moja kati ya nyuzi za kijinga kuwahi kusoma mwaka huu hapa jf sijui unaendeshwa na chuki au roho mbaya na husda kwa walio fanikiwa hyo maswala ya utapeli since 2017 lakin hakuna aliye enda polisi kushtaki ametapeliwa kama ni kuchoma acc ni baina yko wew na broker maybe unamuongelea kondeberry yule dada wa come to ma bedroom aliyetapeli 100mlns
Kama kweli amefanikiwa kwa kiwango hiki unachotaka kuuaminisha umma asingekuwa amenitapeli kwa njia aliyofanya acha na sijui ana mpango gani huyu kijana.

Akili bila busara ni bure kabisa hata haangalii ni nani anamtapeli anyway njia aliyochagua sijawahi kumlaani Wala kumfuatilia ila naonya msimwamini sana
 
🤣Acha porojo zako hizo wakati unawadirect wastaafu wapeleke kiinua mgongo kwa Ontario ulijaribu hata kudai hiyo 40% ili ujiridhirishe kabla ya kwenda kuwatia wazee wa watu pressure
Forex retail ni ngumu kuliko kawaida ndo maana na wewe ulishia kupigwa na mzee wa Jaguar umebaki unalia lia na kutaka kuja kumuua ukirudi abroad. Ungekumbuka kudai hiyo 40% sasa hivi usingekua unashindana kuhonga mapoti
Forex retail hailipi bora ukalime lakini nikishindwa mimi haina maana kwa mwingine haiwezekani
Sasa kama inawezekana kwa nini jamaa anaomba hela watu wachangie ? Kama Forex ina hela huyo Sirjeff mbona alikimbilia Mafinga ? Huyo jamaa alikuwa anatafuta wanafunzi wa Tshs 30000 kwa Zoom session kupitia twitter Dec 2024. Waliotapeliwa wako wengi na tunajua hela zilienda wapi. Na sio swala la utaalamu. Mara mia ubeti mpira kuliko forex maana na broker ni market makers. Mimi sidai 40% wewe umesema Forex ina hela nimekwambia Leta portfolio nikupatie kazi Frankfurt. Wanataka mtu ambaye ana 40% +ve trades ya portfolio nzima maana itakuwa rahisi wao kutrain. Wala haitoi hata shilingi mia. Watakulipia hadi tiketi ya ndege na hela ya kula njiani. Wana confirm na broker.
 
Niseme tu hii nchi ukiwa na akili na unaweza Kupiga pesa online piga kimyakimya tu haya mambo ya kujimwambafai kama Ontario aka sirjfeff yatakutokea puani. Kiukweli forex is real na wengi tunapiga pesa humo kimyakimya japo na kuchoma account kupo ndio safari ya forex ilivyo sio kesi sana. Ontario kosa lake kubwa ni kucheza na watu wakubwa aisee pale x,twitani jamaa anamajigambo sana na hasa lile gari lake Jaguar la 400 plus million za kitanzania ndio noma,yeye angeishi maisha yake low-key tu. Sema hii nchi ukijifanya malaika mwokozi itakula kwako wewe waache wapambane wenyewe na nchi Yao ushaona hata matajiri wakubwa kama bakhresa na mo dewji na kina Zakaria wanai disi serikali na wenye nchi Yao. Wapo kimya ndio Kwanza wanakula nao. Kama huwezi siasa nchi hii achana nazo sijui mambo ya NRNE ya nini. Kwanza kama mimi mpaka Leo sijui hata iyo kura huwa wanapigaje. Siwezi Kupiga kura na bado hata sijajipata Wala Sina muelekeo unashobokaje Kupiga kura waache watawale na wewe tawala maisha yako peacefully tu huku ukila Raha za dunia. Yule dogo hakosi zaidi ya Bitcoin mia Moja ka hold tu. Kinachomkwamisha ni kujifanya mwanaharakati. This world is cruel man,very cruel. Ngoja wamfinye akitoka huko na nchi anahama. Very stupid guy, though ni genius but also a fool one . Lakini pia ukweli usemwe yule sio tapeli ni hustler ni fighter mzuri,shida anajiona anazo akili nyingi. Kuna tofauti ya kuwa na pesa na kuwa na power na kuwa na IQ kubwa. Yote kuwa nayo lakini,mwenye power achana naye afanye yake . Kama kadakwa ishu ni kuzingua mamlaka.
Ni tapelii kanitapeli mwaka Jana 2024 tena inaniuma maana mzigo sikuona na kaniblock mazima acheni kumtetea
 
Etu tuwekee habari kamili tuelewe uyo ni nani na kafanya nini na huwa anajihusisha na nini.,

Maana sio wote tunamjua na kwakua uzi huu umeiweka humu basi tunahaki ya kuelezwa maelezo ya uhakika.

Kwakua hii habari umeiweka ww bas una wajibu na ni haki yetu kutuelezea uyo ni nani na hii sio umbea ni habari uloweka ww hatujakuomba umeweka mwenyewe kwa mapenzi yako.
Sielezi
 
Nimepata taarifa kuna watu wana mipango mibaya juu ya huyu jamaa. Waambieni watu wake wa karibu wahakikishe ndani ya wiki hii wamemuondoa DSM.
 
Sir Jeff

Mafinga

Uhujumu uchumi

Hata ufupisho haupo hivyo mkuu.
 
downloadfile.jpg
 
Yaani mimi mwenyewe nashangaa bitcoin mia unaishi Mafinga na kula kwa mama nitilie,😳😳😳. Huku kunawatu kibao umewakimbia DSM kwa sababu ya utapeli . Bitcoin 100 huyu jamaa angekuwa ameshatambaa yupo Dubai.
Kabisa kabisa mkuu anaweza kua na Bitcoin lakini sio 100.
 
Back
Top Bottom