Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Hiyo ni kwa mujibu wa sheria ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania sio kumuombea....
Mbona kimuonekana hafanani na kesi yake alafu bado kijana huoni tutapoteza nguvu kazi ya taifa.
 
Leta portfolio yako kubwa umepata 40 percent ya trade zako nikutafutie kazi Frankfurt watalipia hadi to tiketi ya ndege. Toka Deutsche bank watangaze ni mtu mmoja tu aliwasilisha portfolio. Uachane na retail forex uingie kwenye real forex za mabenki. Unapoteza muda na muda haurudi nyuma ukija kushtuka umeshachelewa. Mwalimu wenu(Sirjeff) juzi tu Dec2024 alitangaza anatafuta wanafunzi atafundisha kwa Zoom 😂😂😂😂.
Duh anafundisha tena tuition wakati kuna jamaa kasema ana bitcoin 100 (billion 30 Tzs)
 
🤣Acha porojo zako hizo wakati unawadirect wastaafu wapeleke kiinua mgongo kwa Ontario ulijaribu hata kudai hiyo 40% ili ujiridhirishe kabla ya kwenda kuwatia wazee wa watu pressure
Forex retail ni ngumu kuliko kawaida ndo maana na wewe ulishia kupigwa na mzee wa Jaguar umebaki unalia lia na kutaka kuja kumuua ukirudi abroad. Ungekumbuka kudai hiyo 40% sasa hivi usingekua unashindana kuhonga mapoti
Forex retail hailipi bora ukalime lakini nikishindwa mimi haina maana kwa mwingine haiwezekani
Duh.! kumbe retail hailipi, sasa bans kipindi kile forex ndio imepamba moto nikawa nimepanga niwekeza dola 10,000, nimesoma vya kutosha, na tahadhari zote na tamaa zote nieshatahadharishwa, nikafungua demo, nikawa sioni kama in rahisi kama tulivyoambiwa nikachana nayo.
Lakini nilivyokuwa nimesoma ni kuwa hiyo wholesale ni inahusisha mabenki makubwa zaidi, yaani kama unapiga retail basi uwe na ile mitaji ya dola milioni 100 huko, wewe unaifanyaje mkuu hiyo?
 
View attachment 3395297

Jamaa kadakwa kizembe sana kama kuku kwenye mtego wa pumba nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga humu. Sasa ni zamu yake ONTARIO mahakamani.

Anahamishiwa Kisutu leo.

Vijana fanyeni kazi halali, acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja.

Huyu kawa wa mfano
Kahujumu uchumi gani? Alikuwa anaikosoa serikali na kuunga mkono NRNE, naona wameamua kumbambikizia kesi
 
Sir Jeff kama kakamatwa haitakuwa kwa sababu yotote ile nyingine zaidi ya matumizi ya VPN kuiunga mkono #NoReformNoElection kupitia Twitter. Namsifu na kumpongeza kwa kujipambanua kama kijana jasiri anayelitetea Taifa lake hata kwa kuyasadaka maisha yake
Yes hii ni kweli
 
Hii ni nusu ya taarifa - wewe unaweza kulichonganisha jeshi la police na jamii. Why usiweke taarifa kamili?

Unadhani hii taarifa inasomwa na watu wa Osterbay tu au wa jamii ya kijana huyo?
 
Duh.! kumbe retail hailipi, sasa bans kipindi kile forex ndio imepamba moto nikawa nimepanga niwekeza dola 10,000, nimesoma vya kutosha, na tahadhari zote na tamaa zote nieshatahadharishwa, nikafungua demo, nikawa sioni kama in rahisi kama tulivyoambiwa nikachana nayo.
Lakini nilivyokuwa nimesoma ni kuwa hiyo wholesale ni inahusisha mabenki makubwa zaidi, yaani kama unapiga retail basi uwe na ile mitaji ya dola milioni 100 huko, wewe unaifanyaje mkuu hiyo?
Ndugu yangu unamwomba ushauri mtu anaeshindia mihogo na Pepsi baridi 😂😂😂😂. Forex haina hela na waliozama huko washajidanganya na kuanza kuamini katika njia nyingine ni ngumu maana wanaamini ipo siku watatoboa kama mcheza kamari ya Aviator.
 
Kumbe Bora ubeti kuliko forex🤣🤣🤣
 
Weee hujui kipindi anattend humu na malalamiko ya wana.
Nilikuwepo Mzee tazama acc yangu mwaka niliojiunga Mimi nilikuwa ant forex humu

Nina kaukongwe Fulani humu enzi hizo Jf ya moto mpaka usiku wa manane hakuna kulala ' Gen z now days wameshindwa kuichangamsha Jf

Enzi zetu ilikuwa ni balaa Kila jukwaa lilikuwa ni la moto 🔥
 
Back
Top Bottom