Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Kwani alifanya kosa gani tena? Mwanzoni si alitolewa? Kosa gani hilo halina BAIL?
Sio kweli, huwez kuwa ndani na una-tweet, mara ya mwisho kutweet ni two days back. Lakini swali langu kwa nini ufurahie kijana mwenzio kukamatwa?
 
Sio kweli, huwez kuwa ndani na una-tweet, mara ya mwisho kutweet ni two days back. Lakini swali langu kwa nini ufurahie kijana mwenzio kukamatwa?

Polisi wanaweza wakawa na simu yako wakawa wanaitumia ,kumbuka hata soka alivyotekwa wakawa wanatuma meseji kwa kutumia simu yake kwamba anaachana na siasa anaenda kutafuta maisha sehemu nyingine.
 
Itabidi uende ukamtetee
Sina taaluma ya sheria mkuu ila UTAPELI una dhamana.

Kila siku tunapewa taarifa kuhusu utapeli ,ukiwa unataka mafanikio ya haraka haraka ambayo hayaeleweki lazima utatapeliwa tu.

Mimi ngumu sana kunitapeli kwa issue zisizo na kichwa wala miguu ,wewe uliona wapi mtu akakwambia ukifanya hivi au hivi utapata pesa ,wewe haujiulizi kwamba hana ndugu au kwanini asifanye yeye apayte pesa nyingi? Ukiona unaletewa dili la pesa basi jua unaingizwa MKENGE.
 
Mwanetu Ontario dah JF ndo aliachana nayo mazima hakurudi tena humu ndani
 
Back
Top Bottom