Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Wapumbavu mnaamini kuwa atafufuka? Misukule ya Mwendazake mnakazi kubwa
Mtawabadilisha wajinga kuamini kuwa Magufuli hakuwa kipenzi cha watanzania. Watu walimlilia sana so huku mitandaoni mnatwanga maji tu ila wanachi wa vijijin ambao ndyo wengi huwashauri kuhusu JPM.
 
Sijui utanishawish na ajenda gani Hadi nikuelewe na nimwelewe mchato mwenzako.

Baada ya mama kuingia madarakan nilipanda daraja haraka Sana nikaenda bank ,nikaavuta usafir Safi kabisa na chenji juu ambayo inajizungusha kwenye kamradi kangu.kunbuka kabla sijapanda daraja nilikua Sina jeur hiyo ya kupata pesa ya usafir na mradi juu Zaid ningeenda bank ninheambulia pesa kiduchu tu.

Daraja plus nyongeza kwa mtumishi Ina maana kubwa Sana kuliko hata huo mfumuko wa Bei .
Shida yenu mnapigia hesab kinachoongezeka kwa mwez wakat mtumishi anapiga hesab za kwenda bank ili ajikwamue awe na njia zingine mbadala za kuingiza kipato badala ya salary pekee.

200k ikiongezwa kwa mtumishi ni pesa nzur Sana ,inaweza kumtoa sehem mbovu kwenda sehem nzur ,so punguza wivu ,pia kwa upande wangu siwez kukuelewa kabisa et jpm alikua sahihi kwa watumishi maana nimeishi kipind chake lakin siwez kujifananisha na hivi nilivyo leo .

Kitaa navimba Sina stress ,chenji sikosi pia Kaz nafanya bila stress ,nyongeza kwa mtumishi Ina maana kubwa Sana kuliko hizo hesabu ulizofaulu kwa kukariri.
 
Sijawahi kuwa mfuasi wa Magu wala ccm kwa ujumla lakini kwa hili nakuunga mkono. Mtu anashangilia asilimia 23 ambayo ni elfu 69 kwa yule ambaye analipwa laki 3. Anasahau nauli zimepanda, mafuta ya kula, unga, mchele, bodaboda nk, mwanae mkopo chuo anaambulia laki nne tu ya ada ambayo si chini ya 1.2 au hana kabisa, bado hakupa hostel chuoni anaishi mtaani ambako analipa nauli sawa na huyu aliyeongezewa elfu 69. Bando Limepanda, rim paper zimepandwa kwa asilimia mia 2 kupelekea photo copy kupanda pia. Umeme ulikuwa unaunganisha kwa elfu 27 leo laki tatu na ishirini.Tozo ndo hata usiseme kabisaa. Unapata wapi ujasiri wa kushangilia asilimia 23? Acha washangilie ambao mishahara ni zaidi ya digit 9 kweda mbele lkn wa laki 3 na akishangilia akapimwe mkojo
 
Ni watumishi wangapi na kada zipi ambao wanaqualify hiyo nyongeza ya 23% kwa kiwango cha 200k???
 
Serikali kwa kweli ingeaangalia namna nzuri ya kuwasaidi hao watu wachini Yaan mtu anatoka kwenye lak 3 mpk lak na sitin kwelii [emoji22]
Af et ashangilie wakat apo katika ongezeko ilo kuna mtu anatoka 1m mpk 1’250’000 yan mtu anaongezewa mbili unusu kabisa wa chin 60 aisee
 
Wa mbili unusu mafuta ya gari yatasawazisha na kuweka uwanja sawa
 
Usisahau na unit ya umeme nayo imepanda.
 
Propaganda za machawa hizi.
 
Hii akili ya kijinga kabisa [hapa weka ile sauti ya tundu lisu]
 
KWA hawa walimu wanaopata 1235000/= ambao wako daraja F hiyo 23.3 wataongezewa kiasi gani? Maana kuna mwanamalundi mmoja anatuvimbia kinoma hapa mitaani.
 
KWA hawa walimu wanaopata 1235000/= ambao wako daraja F hiyo 23.3 wataongezewa kiasi gani? Maana kuna mwanamalundi mmoja anatuvimbia kinoma hapa mitaani.
Ha ha haaaaa! Acha wivu.
 
Kwa hiyo mtoa mada ulitaka tuendelee kuumia zaidi au unamaanisha nini? Maana kwetu ni faraja kwa vile itatusaidia kwenye purchasing power.
 
Kwa hiyo Achukue hizo 23% zake Au sio,Ila huo mfumuko ubaki hapohapo!! Mbona km na wewe unacheza na Akili za Watu hapa?? Au kwa vile mimi mmachinga sijakuelewa..
 
Vipi mkuu umeridhika na ongezeko la mshahara au bafo hali itakua tete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…