Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Unajisikiaje sasa?
 
nyie watumishi huwa hamueleweki, mwanzo mlikuwa mnalalamika kuwa muongezewe hata kidogo, leo Mama kaongeza mnaanza tena kulaumu, ooohh nyongeza ndogo!!!

mmesahau mlivyo henyeka awamu ya 5!!!

leo hii ndani ya mwaka mmoja Mama kawafanyia mambo kibao,
mmepandishwa madaraja/vyeo, nyongeza n.k.

Leo hii sisi tusio na ajira tunatamani sana, kama umechoka pisha sisi tuingie.

Ama kweli asiye shukuru kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.

Watumishi punguzeni kudeka, mmezidi kudeka na hii ndio shida ya kudekezwa, hamkustahili kuongezwa mpaka baada ya miaka 10.
 
Benson Mramba mfumuko wa bei upo NCHI ZOTE DUNIANI hivyo ongezeko dogo la mishahara itawapunguzia makali ya maisha.
Wakati wa Magu dunia haikushuhudia mfumuko kiasi hiki kwa karne hii na after shocks za Covid ilikuwa bado Kama ilivyo vita vya Ukraine
 
Sababu ya upumbavu wenu!

Bora Magu hakuongeza kabisa na mfumuko wa bei haukuwa kama hivi ilivyo.

Endelea kudemka na 20 yako
Ongezeko halitoshi hata nauli ya wiki wala lunch ya wiki moja kazini!? Kulitoa bank nalo unakatwa
 
Kakojoe, ulale.
 
Eti ni 23.3% au 2.33%? Mwenye lile tangazo la serikali kupandisha mishahara anioneshe ili nithibitishe. Hesabu za decimal ngumu kwangu.
 
Hutuambii magufuul bei alikuta ngapi na ameacha ngapi. Hukutaja sukari aliacha sh ngapi kwa makusudi. Nikisikia kafufuka huyo mtu wako namrudisha shimoni kwa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…