KENNY JEEZY
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 271
- 275
Nahisi yupo karibu na watu wazito au hicho anachosema kimemtokea yeye au mtu wake wa karibuHuyu atakuwa mtu mzto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi yupo karibu na watu wazito au hicho anachosema kimemtokea yeye au mtu wake wa karibuHuyu atakuwa mtu mzto
Kama nakuona, ngoja tuisubiri TZ mpya.
Hawatambuliki vp wakati anayetoa huo msharaha ndiye anayeukata Kodi...sijawahi kuona mtu anesahaulika kukatwa PAYEE...labda Kama we umewahi sahaulika.Ni vizuri kujizoesha kuwa na mawazo positive...SIO KILA KITU ni kuwazia negative
Ninavyo fahamu, huo ni utambulisho tu kuwa mfanyakazi ndiye mlipa kodi na sio taasisi/kampuni kwa kuwa wewe ndiye unakatwa mshahara wako.
Lakini pia, ikatokea kukawa na tax exemption mfanyakazi ataweza kunufaika kwani sasa ataweza kuthibitisha kuwa, yeye ni miongoni mwa walipa kodi wazuri. Kumbuka kuna wafanyakazi wanalipa kodi ya mshahara sawa au zaidi ya baadhi ya wamiliki wa maduka makubwa ila kwa sasa hawatambuliki, hivyo ikitokea tax exemption hawawezi kupata msamaha..
Mwisho; itasaidia serikali ukusanyaji wa mapato kwani wakiona mtu fulani hajatoa kodi ya mshahara, itabidi taasisi/shirika husika liulizwe ili litoe maelezo
|
Mimi ni Tomaso.Wewe hujaiona!?
Sio sahihi sio wafanyakazi wote wanalipa kodi (paye)
kima Cha chini ( less than 270000) hawalipi Kodi,
mungu wa kabudi halipi kodi
Majaji hawalipi Kodi
Wabunge hawalipi be kodi
Nashukuru kwa Ujumbe mama la mama.“Kizazi kiovu kisicho na uaminifu! Mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara isipokuwa ile ishara ya nabii Yona!" - Ujumbe wako toka kwa Mathayo 12:39
Sisi tunaowekewa habasha mezani kwa muhindi haituhusu!
Duuuh walimu wanayo kazi. Ila Private watawachenga tu.Naona MATAGA yamejipanga tu hapo kutetea utumbo...
Watumishi jiandaeni kupigwa Rede tena kama mlivyofanywa ktk uhakiki... Hakuna nini wala nini hapo.
Ni kuendelea chelewesha /wanyima haki zenu.
Upumbavu mtupu. Na mtanyooka... Hasa Walimu. Mi 5 tena.
Asante kwa hizi 'Nondo' tuendelee kuelimishana.Sio sahihi sio wafanyakazi wote wanalipa kodi (paye)
kima Cha chini ( less than 270000) hawalipi Kodi,
mungu wa kabudi halipi kodi
Majaji hawalipi Kodi
Wabunge hawalipi be kodi
Barikiwa mkuuNashukuru kwa Ujumbe mama la mama.
Wacha wanyooke... WapuMbaVu.Duuuh walimu wanayo kazi. Ila Private watawachenga tu.
Ntakuja kukutembelea!Barikiwa mkuu
WapiNtakuja kukutembelea!
Ila punguza chumvi kidogo kuanzia lini wabunge na majaji hawalipi kodi kutokana na ajira zao?Sio sahihi sio wafanyakazi wote wanalipa kodi (paye)
kima Cha chini ( less than 270000) hawalipi Kodi,
mungu wa kabudi halipi kodi
Majaji hawalipi Kodi
Wabunge hawalipi be kodi
Tutayajenga tu ili nije tuonane. Tule keki ya Taifa wote.Wapi