Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Hawatambuliki vp wakati anayetoa huo msharaha ndiye anayeukata Kodi...sijawahi kuona mtu anesahaulika kukatwa PAYEE...labda Kama we umewahi sahaulika.
 
WAAJIRI WENGI HAWAPELEKI P.A.Y.E ZETU 🤣 🤣


NET PAY CALCULATOR - 2019
Gross Pay
800,000
PAYE
98,100​
NSSF
80,000​
Net Pay
621,900

Non-Cash Benefits
80,000​
Allowable Deductions
160,000​
Taxable Pay
720,000​
 
Sio sahihi sio wafanyakazi wote wanalipa kodi (paye)
kima Cha chini ( less than 270000) hawalipi Kodi,
mungu wa kabudi halipi kodi
Majaji hawalipi Kodi
Wabunge hawalipi be kodi

mungu wa Kabudi!
 
Naona MATAGA yamejipanga tu hapo kutetea utumbo...

Watumishi jiandaeni kupigwa Rede tena kama mlivyofanywa ktk uhakiki... Hakuna nini wala nini hapo.

Ni kuendelea chelewesha /wanyima haki zenu.

Upumbavu mtupu. Na mtanyooka... Hasa Walimu. Mi 5 tena.
 
Duuuh walimu wanayo kazi. Ila Private watawachenga tu.
 
Sio sahihi sio wafanyakazi wote wanalipa kodi (paye)
kima Cha chini ( less than 270000) hawalipi Kodi,
mungu wa kabudi halipi kodi
Majaji hawalipi Kodi
Wabunge hawalipi be kodi
Asante kwa hizi 'Nondo' tuendelee kuelimishana.
 
Sio sahihi sio wafanyakazi wote wanalipa kodi (paye)
kima Cha chini ( less than 270000) hawalipi Kodi,
mungu wa kabudi halipi kodi
Majaji hawalipi Kodi
Wabunge hawalipi be kodi
Ila punguza chumvi kidogo kuanzia lini wabunge na majaji hawalipi kodi kutokana na ajira zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…