Mfanyakazi usithubutu kuacha kazi kwa kushawishiwa kwa njia yoyote ile

Punguza fix basi, juzi tu ulikua unyamwezini huko unauza vibua.... Mwenyewe umekiri biashara imeenda Kombo, karibu mjini

Offa: Nipo Tabora Mjini nauza Freezer na Mizani digital, bei ya kutupa kabisa!!


Unadhani nategemea ajira moja.
Niko Serikalini, niko Private company (japo kwa kuibia napo nataka kuwatema), niko na biashara zangu mbili (Forex imekua ya tatu sasa).
Na hizo Freezer Tabora niliamua kuuza baada ya mtu nilomweka kuuza samaki kunizingua.
Maisha kupambana. Ukilegea subiri upambaniwe. Kalagabaho
 
Reactions: Pep
Kumbe unategemea ajira japo sio moja....
Vizuri, mwanaume kupambana.
 
Simple. Kwa sababu ni haki yangu.
Mwana FA anakwambia "Hata kama nina laki mfukoni, bado nitaokota shilingi mia barabarani"
Kulia kwako inaonyesha ulichokiandika ni uwongo unategemea mshahara ukulinde mwenye pesa zake za biashara kama ulivyotuonyesha huwez lilia laki 5 yaani siku moja ya mshahara inapita unaaanza kulia [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumbe unategemea ajira japo sio moja....
Vizuri, mwanaume kupambana.

Walimu hamuelewi.
Naposema ajira namaanisha chanzo cha mapato.
Nina vyanzo vya mapato vizivopungua vinne mpaka sasa.
Nataka nitemane na viwili nibaki na business zangu mbili tu.
 
Reactions: Pep


Halafu hii mishahara ya laki tano kwa mwezi mmeikariri sana...
Mnadhani waajiriwa wote ni Walimu wa CWT??
 
Reactions: Pep
Acha ulongo wewe

Huoni aibu.
 
Nadhan haujaelewa alichokisema huyu bwana......
 
Kuna watu wameibuka siku hizi, wanajiita Inspirational Or motivational speakers, hawa wanakula sana hela za vijana kwa semina za ujanja ujanja wakihamasisha vijana wajiajiri wakati wao wameajiriwa.
ruge na clouds yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…