Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Teh, kila muwamba ngoma....Si kweli kabisa hawa wa forex .... Wanapata hela kwa training.. Lakini hawafanyi trading wao wenyewe.. Mtu anayefanya trading halisia kwa a/c yake , hawezi kusema hivyo.. Ni biashara ya up and down, sasa yeye anajihakikishia vipi kuwa mwezi ujao mambo yatakuwa mazuri..Sound tu za forex..
Ume "drift" vizuri sana na wewe hapo, mitazamo kimaisha yatofautiana, kuridhika kwa ki kimaisha lazima itakuwa tofauti na mwenzako..Je yamaanisha tusisukumane kupata maendeleo?! Je unapomsukuma mwenzako yaweza akasukumika kwenye shimo la maendeleo au la kumpoteza? Ebu endelea kufafanuwa boss Drifter😀 Hapo imebidi nicheke. Yap, you have said it perfectly well. Falsafa yangu siku zote ni kuwa "maisha ni mtazamo" na mtazamo wa mtu (au hisia zake) - ambao ni wa kipekee kwa kila binadamu - ndio unaoainisha mafanikio, mkwamo hata kuanguka kwake. Wengi huishia kushangaa sana wanapogundua kuwa adui zao hasa au hofu zao kuu ZIMO NDANI YAO na si nje na kwamba MWISHO WA YOTE kufaidi au kutofaidi maisha ni jinsi hisia zako zilivyokuongoza.
hakika upo sahihi...ukitaka pato zuri ndivyo utumwa kwa maslahi ya wengine unavozidiNiko kwenye ajira mwaka wa pili huu.
Nimeanza Kutrade Forex mwezi September.
Kwa mpunga naopiga next month naandika resignation letter. Kwanini, kwa sababu mshahara wangu wa mwezi naweza kuupata ndani ya week moja soko likikubali.
Kuajiriwa ni utumwa, ukweli utabaki milele
Uoga wako Umasikini wako
rich dad poor dad hiki kitabu nakipenda kimegusa vizuri sna habari za kuajiriwa na kujiajiari...Habari wanajukwaa!
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya waajiriwa wa serikali na wale wa sekta binafsi. Pia unawahusu wale watakaoajiriwa siku za machoni.
Kuna upuuzi siku hizi unasambazwa sana na watu mbalimbali unaohusu kupondea ajira(kuajiriwa) na kutukuza kujiajiri.
Katika haya maisha kila mtu ana mpango kazi wake kichwani wa kumwezesha kufika mahali pale anapopahitaji, ili kufika mahali unapopalenga unahitaji ushauri kwa sehemu ndogo sana.
Kwanini niseme ushauri unahitajika kwa sehemu ndogo sana?
1. Wewe ndiwe mwenye picha halisi ya kule uendako na utakako
2. Watu wengi hawawezi kubeba mzigo wa mwingine kama mzigo wao. Watu wamejawa wivu (hasa ngozi nyeusi)
3. Watu wanaishi kwa maigizo, mfano humu ndani mtu utakuta amekosa ajira na sasa anasajili line kwa mwezi anaingiza laki mbili tu ila ukiomba ushauri yeye atajiintroduce kama mmiliki wa kampuni na hana mpango wa kuajiriwa tena maishani mwake.
Unaweza kujiajiri ukiwa mwajiriwa na kuzikabili changamoto nyingi kwa urahisi zaidi ya yule asiyeajiriwa. Kivipi?
(A) Ni rahisi kupata mtaji
(B) Ni rahisi kukuza mtaji wako pindi unapoona biashara yako ina soko zuri
(C) Unaweza kuwageuza wafanyakazi wenzako kuwa kama soko la awali huku ukisoma somo la biashara kwa vitendo
Note:
Usiache kazi mpaka pale utakapoona biashara yako inaweza kuendelea kukuingizia fedha hata kama unaumwa ,hapa namanisha mpaka pale itakapojiendesha yenyewe. Uwe jela, uwe umelazwa n.k system iwe inaoperate, kinyume na hapo usithubutu.
Pia napenda kusema kuwa mafanikio ni pale moyo wa mtu unaporidhika na vile alivyo na si kumiliki magorofa au kampuni. Mwingine hata kuwa mpika chai wa waziri kwake ni mafanikio hivyo acha kumbughudhi ili ajione mnyonge aache kazi.
Tunaofanya Kazi kwa Mhindi Uzi huu hautuhusuHabari wanajukwaa!

Kuna jamaa yangu anataka acha kazi aje kufuga kuku ila nimemwambia kuna changamoto kubwa huku dunian kasema Kazi za kuajiriwa zimemchosha
Niko kwenye ajira mwaka wa pili huu.
Nimeanza Kutrade Forex mwezi September.
Kwa mpunga naopiga next month naandika resignation letter. Kwanini, kwa sababu mshahara wangu wa mwezi naweza kuupata ndani ya week moja soko likikubali.
Kuajiriwa ni utumwa, ukweli utabaki milele
Uoga wako Umasikini wako
Je biashara ikigoma una mbadala au maana hiyo forex sio uhakikaNiko kwenye ajira mwaka wa pili huu.
Nimeanza Kutrade Forex mwezi September.
Kwa mpunga naopiga next month naandika resignation letter. Kwanini, kwa sababu mshahara wangu wa mwezi naweza kuupata ndani ya week moja soko likikubali.
Kuajiriwa ni utumwa, ukweli utabaki milele
Uoga wako Umasikini wako
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119]Daaaah we jamaa si juzi tu ulikua unalilia mshahara leo hii ushakua tajiri wa forex unawaambia wenzio waache kazi?
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Punguza fix basi, juzi tu ulikua unyamwezini huko unauza vibua.... Mwenyewe umekiri biashara imeenda Kombo, karibu mjini
Offa: Nipo Tabora Mjini nauza Freezer na Mizani digital, bei ya kutupa kabisa!!
Hatari sana chief [emoji23] [emoji23]Unadhani nategemea ajira moja.
Niko Serikalini, niko Private company (japo kwa kuibia napo nataka kuwatema), niko na biashara zangu mbili (Forex imekua ya tatu sasa).
Na hizo Freezer Tabora niliamua kuuza baada ya mtu nilomweka kuuza samaki kunizingua.
Maisha kupambana. Ukilegea subiri upambaniwe. Kalagabaho
Hapo kwenye snap sio nap chief?Unanipigia kelele tu.
Saa saba kamili soko la New Zealand linafunguliwa.
Let me take a snap.
[emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Masikini anapowashauri masikini wenzake.
Hili neno fursa siku hizi nalo limekuwa fursaKuna watu wameibuka siku hizi, wanajiita Inspirational Or motivational speakers, hawa wanakula sana hela za vijana kwa semina za ujanja ujanja wakihamasisha vijana wajiajiri wakati wao wameajiriwa.
Ila make sureNiko kwenye ajira mwaka wa pili huu.
Nimeanza Kutrade Forex mwezi September.
Kwa mpunga naopiga next month naandika resignation letter. Kwanini, kwa sababu mshahara wangu wa mwezi naweza kuupata ndani ya week moja soko likikubali.
Kuajiriwa ni utumwa, ukweli utabaki milele
Uoga wako Umasikini wako
Watu wanasema kuajiriwa ni utumwa sijui stress na bla bla blahhHuu uzi umetawaliwa na watu wenye vichwa vigumu sijapata kuona japo sijawai kuajiriwa pia sijawai kujiajiri bado lakini concept nzima ya kuacha kazi nimeielewa vilivyo labda nijaribu kui summarize
“unakusanya mtaji kwenye ajira uliyoajiriwa una invest katika shughuri za kijasiriamali izo biashara zako zinakuwa mpaka zinazidi mapato ya mshahara unaoupata kwenye ajira yako na zinavyokuwa ivyo sasa zinaitaji usimamizi wako wakaribu hivyo ndio muda sahihi wa kuacha ajira yako na kusimamia biashara zako kwasababu zinakuingizia mapato kuliko kwenye ajira yako pia zinaitaji usimamizi wakaribu hii inamaana katika stage hiyo weutegemei ajira tena"
Hiyo ndo concept fupi sasa wengi wenu humu munaposikia kuacha kazi nahisi uwelewa wenu ni mtu from no where tu anaacha kazi ndomnavyoelewa
NB: kuajiriwa kutakufanya uwishi na stress maisha yako yote hii aina maana kwamba usiajiriwe, ajiriwa ili ukusanye mtaji siri ya utajiri ilishafaamika sasaivi sio kurumbana tu apa
Make sure ni analysis zako mwenyewe sio za kuambia buy/sell
Aya apo sijaamka asubui kaka mkubwamkubwa
Daaaah we jamaa si juzi tu ulikua unalilia mshahara leo hii ushakua tajiri wa forex unawaambia wenzio waache kazi?
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi