mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Uchochezi huuu tutakupima kojo mkuu c kwa reference hizDaaaah we jamaa si juzi tu ulikua unalilia mshahara leo hii ushakua tajiri wa forex unawaambia wenzio waache kazi?
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi
Wazo zuri,ila hakikisha munaenda mahakamani.Pia Mke wake lazima atie sahihi,usikubali akuuzie kienyeji hata kama ni rafikiMwanagu ndo nimeambiwa ijumaa naingiziwa mpunga liwalo na liwe bora nichukue mjengo nipangishe coz mi nipo kwenye nyumba ya bure ya serikali
Nimeenda hadi kuhakiki hilo deni lake bankWazo zuri,ila hakikisha munaenda mahakamani.Pia Mke wake lazima atie sahihi,usikubali akuuzie kienyeji hata kama ni rafiki
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] tena hao wa kiAfrica ndo kichefu chefu kabisaa..Kuna watu wameibuka siku hizi, wanajiita Inspirational Or motivational speakers, hawa wanakula sana hela za vijana kwa semina za ujanja ujanja wakihamasisha vijana wajiajiri wakati wao wameajiriwa.
labda alikuwa anajiona hana ile dare gut....so akawa anawaIncourage wengne wasije kuwa kama yeye,Namkumbuka marehemu Seth (Bikra wa kisukuma) apumzike kwa amani.....
Alikua anapinga sana kuajiriwa, anatoa shule bila ada namna ya kujiajiri, ila hadi anafariki alikua kaajiriwa Efm radio
Hahahaa noma sanaNamkumbuka marehemu Seth (Bikra wa kisukuma) apumzike kwa amani.....
Alikua anapinga sana kuajiriwa, anatoa shule bila ada namna ya kujiajiri, ila hadi anafariki alikua kaajiriwa Efm radio
Wanaharibu sana watu.Huu ni ukweli mchungu kuna watu wanaitwa Motivation speakers wanatuharibia vijana mijini huko Mapori yanalala huku vijijini kazi Kusikiliza motivation speech na Inspiration quetos
Wapo wengi tu ila wengi ni waongo wanawajaza watu upepo kuwa walikuwa wanalipwa milioni na nusu na wameacha kwakuwa sasa wanapata maslahi kubwa zaidi.Eti kuna wale wanaacha kazi na kujiunga na network marketing kama D9 (kama wanavyodai), hii ni kweli?
Mafanikio yanakuwa na tafsiri nyingi ndugu na mojawapo ni hiu;Huwezi kufanikiwa kama umeajiliwa..kuajiliwa kunabana muda,na kukosa fursa duniani..funguka ....
Yy ajui, anataka kulinganisha ajira yke na ajira za watu wengine, kila mtu na maamuzi yke, na pia tunashauriwa jaribu kujifunza kw mwenzako aliefanikiwa.Mkuu inategemeana na kazi. Kuna kazi zingine za kitumwa hakuna mfano
Mkuu ulishaachaga kazi?Niko kwenye ajira mwaka wa pili huu.
Nimeanza Kutrade Forex mwezi September.
Kwa mpunga naopiga next month naandika resignation letter. Kwanini, kwa sababu mshahara wangu wa mwezi naweza kuupata ndani ya week moja soko likikubali.
Kuajiriwa ni utumwa, ukweli utabaki milele
Uoga wako Umasikini wako