Mfanyakazi wa min supermarket ipo mbagala kwa maji matitu ni mpya.ipo kwenye hatua za mwisho

Mfanyakazi wa min supermarket ipo mbagala kwa maji matitu ni mpya.ipo kwenye hatua za mwisho

wanan

Senior Member
Joined
May 11, 2011
Posts
141
Reaction score
42
Wasiliana nami kwa inbox wanatakiwa wadada wawili.watakuwa wanafanya kazi kuanzia saa mbili mpaka kumi nambili jion.mshahara na huduma zingine zitegemeana na mapatano.
Sifa
1.uwezo wa kutumia computer
2.uwezo wa hesabu
3.watanasharti
4.uzoefu sio tatizo
5.lugha mzuri na wateja
6.mpenda kufanya kazi
7.awe na wadhamini wa wawili
ni inbox ili tuweze kufanya wawasiliano kampuni ni registered campany in matawi dar na songea
 
Back
Top Bottom