Wasiliana nami kwa inbox wanatakiwa wadada wawili.watakuwa wanafanya kazi kuanzia saa mbili mpaka kumi nambili jion.mshahara na huduma zingine zitegemeana na mapatano.
Sifa
1.uwezo wa kutumia computer
2.uwezo wa hesabu
3.watanasharti
4.uzoefu sio tatizo
5.lugha mzuri na wateja
6.mpenda kufanya kazi
7.awe na wadhamini wa wawili
ni inbox ili tuweze kufanya wawasiliano kampuni ni registered campany in matawi dar na songea
Sifa
1.uwezo wa kutumia computer
2.uwezo wa hesabu
3.watanasharti
4.uzoefu sio tatizo
5.lugha mzuri na wateja
6.mpenda kufanya kazi
7.awe na wadhamini wa wawili
ni inbox ili tuweze kufanya wawasiliano kampuni ni registered campany in matawi dar na songea