Mfanyakazi wa ndege aliyejiua kisa mwanaume ni wa kampuni gani?

Mfanyakazi wa ndege aliyejiua kisa mwanaume ni wa kampuni gani?

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Jana nikiwa msibani Tegeta, kwa nyuma nilisikia wazee wakilaani kitendo cha mdada mmoja. Mfanyakazi wa ndege aliejiua S. Africa #KISA MWANAUME

Katika maongezi nilijitahidi kutaka kusikia ni kampuni gani marehemu alifanya, mwenzie aliongea Kiingereza usitaje jina. Kilichoniumiza zaidi, marehemu hana wiki nne aliletwa na kuzikwa kwao, mama mzazi wa marehemu naye ameaga dunia hata mwezi haujatimia jamani.

Alianguka mara ya kwanza wakafanikiwa kumuwahisha hospitali. Tripu hii hakukuwa na mtu karibu akadondoka; walipofika watu kusalimia na kuendelea kutoà pole alishafariki.

Mabinti tutunze wazazi wetu tujiheshimu. Maisha ni mara moja mume ama boyfriend utabadilisha unavyotakaa

Onaa na mzazii naye ameenda, kwa uchungu inaumaa sana sana.

Mzazii amewaza mateso aliyoteseka na weweee mpakà uko kazini leo hii unajiua kisa mwanaume aisee.

Rip Sis
Rip Mom
 
Maana mtu ataachana na baba yake na mama yake na kuambatana na mke wake au mume wake,nao hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja.Hakuna siku hata moja baba au mama ataweza chukua nafasi ya mme au mke sana sana wewe unasumbuliwa na umri mdogo
 
Tatizo la binaadam la msingi huwa ni ubinafsi.right kama tungekuwa tunaangalia na hisia za wengine tungeheshimiana na kujaliana sana.kuanzia kwa mpenzi aliyemcheat au kumwacha huyo dada bila kujalina dada nayeye kujiua pasipo kuangalia nyuma anategemewa na wangapi!!!

Yote ni ubainafsi tu,ukifikiri kwa utulivu ni jinsi gani wewe ni wa muhimu kwa jamii inayokuzunguka,hakuna mawazo yatakuja kufaulu kukushawishi ujidhuru,utajithamini sana.
 
Hizi dini bwana....

Marriage is a political contractual agreement.

Hakuna kingine.....
 
Tatizo la binaadam la msingi huwa ni ubinafsi.right kama tungekuwa tunaangalia na hisia za wengine tungeheshimiana na kujaliana sana.kuanzia kwa mpenzi aliyemcheat au kumwacha huyo dada bila kujalina dada nayeye kujiua pasipo kuangalia nyuma anategemewa na wangapi!!!

Yote ni ubainafsi tu,ukifikiri kwa utulivu ni jinsi gani wewe ni wa muhimu kwa jamii inayokuzunguka,hakuna mawazo yatakuja kufaulu kukushawishi ujidhuru,utajithamini sana.
Ubinafsi is best trait responsible for bringing the best out of people..

Love is a stupid feeling,unreliable,false,misleading,very temporary feeling..

Love is useless and can not be trusted or relied upon in a long run.

Shut that out!
 
Pole sana,marriage ilikuwepo kabla ya hizo politics zenu mkuu
Politics ilianza kabla ya marriage institution wewe...

Acha kudanganya watu...

Male kumpata female ni lazima upitie "politics"...

Na contracts ina predates marriage institution..

Maana ni voluntary agreement ni contract,otherwise ni kidnapping...

Marriage institution ni more recent thing,acha kumbwela!
 
Ukishajua thamani yako hakuna mtu wa kukusumbua akili.

Ŕ.I.P mama wa binti.
 
Back
Top Bottom