Mfanyakazi wa ndege aliyejiua kisa mwanaume ni wa kampuni gani?

Hapo hakuna dini, mapenzi ni udhaifu wa kimwili, haijalishi dini, ni asili ya ubinadamu.
Kama mapenzi ni kitu powerful sana na eternal,mbona ni temporary?

Kwa span ya miaka 50 ya ndoa,huwezi nidanganya upendo wa 100% wa Year 1 ni sawa na 100% kwenye Year 50,thats a lie!

Love ni very unrealible condition.

Kwanza mtu akiwa in Love,hayupo sober,yupo under influence,ndio maana the most dumbest decisions are made when people are in Love kwasababu they dont use brains correctly!

Fvck Love!
 
Kama mapenzi ya kipindi cha mwaka wa kwanza ni sawa au si sawa mnapofikisha miaka 30, hilo inabidi uliishi ili kuthibitisha lipi ni lipi. Kwa sababu wenyewe wakikueleza hutawaamini.
 
Hakuna mtu duniani anaitwa mfanyakazi wa ndege mleta rekebisha kichwa Cha Maada yupo mfanyakazi wa shirika la ndege sio mfanyakazi wa ndege!!!
 
Kama mapenzi ya kipindi cha mwaka wa kwanza ni sawa au si sawa mnapofikisha miaka 30, hilo inabidi uliishi ili kuthibitisha lipi ni lipi. Kwa sababu wenyewe wakikueleza hutawaamini.
Utaamini vipi ndugu yangu maana "Love" haipimiki!

Ukae hapa unamsikiliza mwanadamu anakwambia oh "nampenda sana" and blah blah,how much?

Nobody really knows na haipimiki!

Mkuu,tukubaliane tu,LOVE au Chuki ni temporary emotions na mwanadamu anapokua nazo ubongo wake unakua kwenye excited state na sio sober,hivyo maamuzi yeyote ni under influence!

Kitu chenye uhakika na kinapatikana when mind is sober na it really works ni "Greed" au "Tamaa".....thats the best thing to have.
 
Watu wanashindwa elewa uzito wa mke au mume.

Wazazi wananafasi kubwa sana kwako lakini mume au mke nao pia wana nafasi muhimu kwa muendelezo wa maisha yetu,cha msingi watu waache kuchanganya haki yaani usimpe mume/mke haki ya mzazi na usiwape wazazi haki za mume/mke hapo maisha yatakua sawa bila migogoro.
Maana mtu ataachana na baba yake na mama yake na kuambatana na mke wake au mume wake,nao hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja.Hakuna siku hata moja baba au mama ataweza chukua nafasi ya mme au mke sana sana wewe unasumbuliwa na umri mdogo
 
Utaamini vipi ndugu yangu maana "Love" haipimiki!

Ukae hapa unamsikiliza mwanadamu anakwambia oh "nampenda sana" and blah blah,how much?

Nobody really knows na haipimiki!

Mkuu,tukubaliane tu,LOVE au Chuki ni temporary emotions na mwanadamu anapokua nazo ubongo wake unakua kwenye excited state na sio sober,hivyo maamuzi yeyote ni under influence!

Kitu chenye uhakika na kinapatikana when mind is sober na it really works ni "Greed" au "Tamaa".....thats the best thing to have.
Ndio maana nikasema ili uthibitishe, inabidi wewe binafsi ndio uyaishi hayo maisha ya kwenye ndoa (mapenzi) kwa muda wote huo, na sio kusikia kwa wengine.
 
Kwahiyo hata kuelezea hapa ni makosa!

Labda ujielezee wewe wewe mwenyewe kama wewe kutokana na experience yako!

Kwahiyo,hii maelezo hapa kujaribu kuwaamini wanadamu wengine kwamba "love" ni kitu poa sana na ni kitu "reliable" sana unakosea maana experience yako wewe ni tofauti na wanadamu wengine!

Hii experience ya "love" basi kila mtu abaki nayo moyoni mwake kama kitendo cha kunya ambapo tunapokunya chooni hua hatuendi hadithia maana ni mambo ya binafsi
 
Back
Top Bottom