Hizi dini bwana....Maana mtu ataachana na baba yake na mama yake na kuambatana na mke wake au mume wake,nao hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja.Hakuna siku hata moja baba au mama ataweza chukua nafasi ya mme au mke sana sana wewe unasumbuliwa na umri mdogo
Ubinafsi is best trait responsible for bringing the best out of people..Tatizo la binaadam la msingi huwa ni ubinafsi.right kama tungekuwa tunaangalia na hisia za wengine tungeheshimiana na kujaliana sana.kuanzia kwa mpenzi aliyemcheat au kumwacha huyo dada bila kujalina dada nayeye kujiua pasipo kuangalia nyuma anategemewa na wangapi!!!
Yote ni ubainafsi tu,ukifikiri kwa utulivu ni jinsi gani wewe ni wa muhimu kwa jamii inayokuzunguka,hakuna mawazo yatakuja kufaulu kukushawishi ujidhuru,utajithamini sana.
Pole sana,marriage ilikuwepo kabla ya hizo politics zenu mkuuHizi dini bwana....
Marriage is a political contractual agreement.
Hakuna kingine.....
Politics ilianza kabla ya marriage institution wewe...Pole sana,marriage ilikuwepo kabla ya hizo politics zenu mkuu
Hapo hakuna dini, mapenzi ni udhaifu wa kimwili, haijalishi dini, ni asili ya ubinadamu.Hizi dini bwana....
Marriage is a political contractual agreement.
Hakuna kingine.....
Watia story waliongea kingereza usitaje jinaMkuu umeandika kama vile wote tunaijua hii habari au tulikuwepo kwenye huo msiba. Hii habari hatuijui, kama unaweza tuelezee ili tuifahamu.
Wewe wasemaMkuu una uhakika huyu mfanyakazi anaweza kuwa FaizaFoxy ?