kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,742
Ushirikishe vizuri ubongo wako, siamini kwa hili lakini ikumbukwe kwenye sakata la kufungiwa Gazeti la Manahalisi inatokana na kuanika wazi kuwa UWT walihusika na utekwaji wa Dr. Uli na hii ilitokana na kupata ushirikiano na Kampuni ya simu (TIGO)iliyotoa taarifa na No. za waliohusika hadi usajili wao kwa hiyo kama jamaa ni mfanyakazi wa TIGO kwa anachofanyiwa inawezekana na suala hilo.Ili iweje? anahusuana vipi na kutekwa kwa Ulimboka? Mawazo ya kupuuzwa hayo.