Mfanyakazi wa tiGO Afanyiwa Mbaya..System at Work?

Mfanyakazi wa tiGO Afanyiwa Mbaya..System at Work?

Ili iweje? anahusuana vipi na kutekwa kwa Ulimboka? Mawazo ya kupuuzwa hayo.
Ushirikishe vizuri ubongo wako, siamini kwa hili lakini ikumbukwe kwenye sakata la kufungiwa Gazeti la Manahalisi inatokana na kuanika wazi kuwa UWT walihusika na utekwaji wa Dr. Uli na hii ilitokana na kupata ushirikiano na Kampuni ya simu (TIGO)iliyotoa taarifa na No. za waliohusika hadi usajili wao kwa hiyo kama jamaa ni mfanyakazi wa TIGO kwa anachofanyiwa inawezekana na suala hilo.
 
Hii ni assumption zaidi, haina facts. Kajipange zaidi unishawishi na mimi
 
My take..................
My take..................
My take..................
My take..................

What is your take?
 
Action and Reaction always equal n Opposite

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Majambazi watatumaliza huku tukisingizia vyombo vya dola kuwa vinahusika. Itabidi kujilinda wenyewe kwa sababu sasa vyombo hivi havina morari kutokana na kusingiziwa kila kukicha. Unatemea jambazi aingie kwa Said KUBENEA halafu chombo cha dola kikawa na haraka ya kutoa msaada. Itabidi afe kama kuku.
Mkuu kama ni Majambazi si yangeiba hata Wallet na Simu ya Mfanyakazi huyu aliyesimamishwa?? wamempa kichapo na kumfanyiza wife wake hii ni system yaani jamaa wanalipiza kisasi cha kuumbuliwa live kwa kuwapa mateso raia wafanyakazi wasio na hatia yeyote Je Kama ndio Kiongozi wa juu serikalini angekuwa kauwawa au kafanyiziwa na mtu yeyote asisaidie chochote??

Raisi alishasema analaani kitendo cha kupigwa Dr. Ulimboka na amesikitika sana japo sikumbuki kama alisema kuhusu kusakwa kwa waliohusika!... kama hili suala lipo mahakamani basi ndio limefunikwa huu si usawa wa haki nasema kama ilikuwa ni Dhamira ya serikali naomba waendelee kufunika na wafanyakazi hawa 30 wa Tigo werejeshwe kazini... Ubabe kwa kila mtu? MIC Tanzania nao wameshingia kwenye System!
 
Hii ni assumption zaidi, haina facts. Kajipange zaidi unishawishi na mimi
Nenda pale tIGO Office kamuulizie Ben na pia uliza mkasa wa walioachishwa uwe na moyo usije mwaga machozi... nchi hii sio ya wananchi tena... Siku na wewe Mkeo akiliwa ndio utapata ushawishi nadhani....

Inaonesha huna imani hata kidogo...na hujaambiwa hii thread ni ya ushawishi... hi ni Fact Mkuu
 
Si haki hata kidogo kwa kampuni ya simu kuanika siri za mteja wake hadharani.siungi mkono alichofanyiwa huyo mfanyakazi lakini pia akome kama alifanya hivo.ni fundisho kubwa kwake.
 
Nenda pale tIGO Office kamuulizie Ben na pia uliza mkasa wa walioachishwa uwe na moyo usije mwaga machozi... nchi hii sio ya wananchi tena... Siku na wewe Mkeo akiliwa ndio utapata ushawishi nadhani....

Inaonesha huna imani hata kidogo...na hujaambiwa hii thread ni ya ushawishi... hi ni Fact Mkuu


Mmmm imenibidi niamini haraka sana kabla hilo la mke wangu kuliwa halijafika. Ila amini usiamini mtu akila mke wangu kwa ubabe bila kukubaliana kisha nikajua lazima nimvizie hata baada ya miaka 10 ntamuadhibu tu
 
Sasa Dr. Uli kesharejea Matibabuni ajue kuna watu wamepoteza kazi na Kupata maumivu kwa ajili yake utulivu wake pengine keshalambiswa Juice ya White House basi awaombee jamaa warejeshwe kazini kimya kimya na Fidia ya maumivu pia.... hii Nchi Mtu akitishwa basi ndio unakuwa upepo umepita na watu kimyaaaaaaa... Safi Sana only happened in Tanzania...
 
Back
Top Bottom