Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Mkuu maendeleo kwa nchi hii ni hisani ya watawala na siyo haki ya wananchi, usipoiba awamu hii huwezi kuiba tena
In all honest, unachosema kuwa waendelee kuiba, na wakati ni kweli wengi wamo humu, siyo kwamba ina encourage zaidi hiyo situation?

“What you’re saying, is a blanket statement”, ambayo inaweza ikafunika hata cheche mbili tatu za mabadiliko kama zipo, na kuzizima!

Just do what’s right man. Hizo kauli siyo nzuri. Zinaweza kuchangia kuzima cheche mbili tatu za mabadiliko kama zipo.

Just do and say what you think it’s right. The rest leave it to beaver.

Halafu lazima uwe na malengo unaposema hivyo. Sasa malengo yako ni nini?
 
Uzuri ukiiba hela nyingi.
1. Wakija TAKUKURU unawapa kdg
2. Wakija Polisi unawagaia kdg
3. Ukipelekwa mahakamani unadili na hakimu, Jaji etc.
 
Ndiyo maana JPM alibaki na Mgwira tu kati ya wachaga wote, tena naye ni kwa maelewano maalumu
 
Hii serikali ya ccm bila watanzania kufanya kama Gen-z wa kenya tutaendelea kukamliwa kodi kwaajiri viongozi na wafanyakazi wa serikali kujikwapuria
 
Angewekeza kwenye ardhi, dunia ya siku hizi ni ushamba kuweka kuasi kama hicho nyumbani.
Ukipewa B7 za wizi sasa hivi hapa utazifanyia nini?
Unasema tu..hizo ni pesa nyingi sana hasa ukiwa mtumishi wa umma, ukianza kuwekeza haraka sana utatiliwa mashaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…