Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Punguza jazba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza jazba
Duuh 😑😑Nchi yetu inataka kuwa makin sana tunaibiwa, kuna waziri fulan anauza dolla kwake nyumbani ana burungutu la kutosha sana !!
Channeled Kawe
Britanicca
In all honest, unachosema kuwa waendelee kuiba, na wakati ni kweli wengi wamo humu, siyo kwamba ina encourage zaidi hiyo situation?Mkuu maendeleo kwa nchi hii ni hisani ya watawala na siyo haki ya wananchi, usipoiba awamu hii huwezi kuiba tena
Ni kweli. Lakini lazima kuna wawili watatu ambao hawapo hivyo. Tusiwakatishe tamaa endapo wamo humu na wanasoma.Vijana wapo busy na betting, mpira na mziki, wazee wapo busy na alkasusi badala ya kulinda raslimali za taifa, ukiwa na taifa la watu wajinga hivi bora uibe yaani mazingira yanashawishi kuiba
Daaang!! Like serious???Nchi yetu inataka kuwa makin sana tunaibiwa, kuna waziri fulan anauza dolla kwake nyumbani ana burungutu la kutosha sana !!
Channeled Kawe
Britanicca
Tena huyo katika mawaziri asiyemuogopa bosi wao huyo anaongoza. Au wanakula pamoja sio bure.Usajili wanaofanya Singida big star, mwigulu si unamuona.
NaamAu wanakula pamoja sio bure.
Uzuri ukiiba hela nyingi.
Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.
Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.
Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.
Hawa huwezi sikia Wakina Makala, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lissu.
Kule Kilimanjaro kuna raia wanachangishana kulima barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Yeye mwenyewe mwiziNaona kama Mama Samia anafanya mchezo na hii nchi, yaani watu wanaiba anawachekelea tu
Ndiyo maana JPM alibaki na Mgwira tu kati ya wachaga wote, tena naye ni kwa maelewano maalumuTRA kuna maajabu sana yaani vijana wa 2000 wamemaliza vyuo sababu ni wachaga wamepata kazi TRA wana ukwasi na magorofa ya hatari.
Yupo.kijana mmoja mtoto wa Shao( maarufu kama mtoto wa mama teddy) pale mbezibeach rainbow kamaliza ifm miaka ya 2018. Nilimkuta kwa mkuu wa wilaya anafuatilia kibali cha kumiliki bastola kisa yupoTRA ana pesa nyingi eti atakabwa.
Yupo mwingine Ngajiro alikiwa longroom lakini walimfukuza kwa ufisadi. Kuna akina Kimaro na wale wa airport Tra wana ukwasi wa hatari.
Sijui takukuru wamelala wapi. Na ile Fass sijui ya TRA law enforcement department inafanya kazi gani.
Yule mama ni mtu wa SingidaNdiyo maana JPM alibaki na Mgwira tu kati ya wachaga wote, tena naye ni kwa maelewano maalumu
Aaahaa! Kumbe?Yule mama ni mtu wa Singida
Hii serikali ya ccm bila watanzania kufanya kama Gen-z wa kenya tutaendelea kukamliwa kodi kwaajiri viongozi na wafanyakazi wa serikali kujikwapuria
Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.
Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.
Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.
Hawa huwezi sikia Wakina Makala, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lissu.
Kule Kilimanjaro kuna raia wanachangishana kulima barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Mzee B7,Mtu anshindwa kutakatisha hizo hela akaziingiza ktk mzunguko? Kuna vi2 vingine ni vya kijinga sana.
Ukipewa B7 za wizi sasa hivi hapa utazifanyia nini?Angewekeza kwenye ardhi, dunia ya siku hizi ni ushamba kuweka kuasi kama hicho nyumbani.