mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
KabisaYana mwisho!
Haiwezi kwenda hivi forever !
Atakapo patikana Dikiteta Mzalendo Muadilifu Uwizi huu utaisha tu 🙌
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaYana mwisho!
Haiwezi kwenda hivi forever !
Atakapo patikana Dikiteta Mzalendo Muadilifu Uwizi huu utaisha tu 🙌
Yaani we km MimiMe kodi yangu atakula mama mwenye nyumba tu
Ila hao wengine mpaka tujielewe kwanza
Hakuna namna kwakweliHizo kodi watalipa wao huyo rais na waziri wake mimi huko nilishatokaga wasinihusishe kabisa yani sitaki hata kusikia.
Nitakwepa kodi kwa mbinu yoyote siwezi lipa hela zangu huku hazijulikani zinaenda wapi.
Bora utawaliwe na mzungu kuliko huu upuuziInasikitisha sana!!! Ndio maana professor Lumumba wa Kenya alisema "In Africa we elect fools to the office ".
Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ina hitaji mtu mwenye busara za hali ya juu sana, utu na asiyekuwa na pepo la ubinafsi hili kuona mantiki iliyomo kwenye comment yangu..... na sio wewe kichwa maji, usiyekuwa na utu wala maono na uiyetawaliwa na pepo la ubinafsi pamoja na ujinga.Akili huna hela azitafute Kwa ujanja wake aje awape nyie mkalimie karanga we boya kwel unaitamka tu billion 1 kirahisi kama unayo
Kenge wewe ungekua unapinga ubinafsi ungemfuata mwigulu nchemba ukamzaba makofi Fanya kazi mzee hamna mtu akupe wewe bwege hela yake ukalimie karanga kama kuiba ni rahisi jaribu na wewe uibe billion 7Ina hitaji mtu mwenye busara za hali ya juu sana, utu na asiyekuwa na pepo la ubinafsi hili kuona mantiki iliyomo kwenye comment yangu..... na sio wewe kichwa maji, usiyekuwa na utu wala maono na uiyetawaliwa na pepo la ubinafsi pamoja na ujinga.
Hata sijakushangaa kusema mimi sina akili baada ya kuona hiyo sehemu niliyoibold hapo kwenye comment yako.....!!
Ni jambo hii ambalo liko wazi kwamba nchi hii kujipatia pesa kwa njia ya wizi,ufisadi,rushwa na dhuluma inaonekana ni ujanja na akili, na hivyo basi wezi na mafisadi wanaheshimika na wanaonekana ni watu wenye akali mbele ya jamii iliyojaa watu wa aina yako.
Sikushangai wewe kuona nimeandika upuuzi kwa sababu akilini mwako unawaza kuiba na kupata hela kwa njia zingine za shortcuts pasipo kujali athari zake kijamiii....
Na hata ukiwa chawa wa majizi lazima uwaone wanaokinzana na hao majizi hawana akili na badala yake wewe na hao majizi ndio mna akili.
Huyu mwizi mwenzio wa pesa za umma ambaye unamuona ni mjanja angekuwa kweli ni mjanja, asingekaa na hizo pesa ndani kama anahifadhi gunia la mchele na badala yake angezuridisha mtaani kwa njia niliyependekeza hapo na ingemletea manufaa yeye na jamii kwa ujumla na hata huo wizi ungekuwa justified..... ila kwa vile wewe ni kichwa maji hutoelewa chochote hapa
Utaitwa wewe ni mtoto wa mjini. 😳🙄Kwa sasa kuiibia nchi ni sifa.
Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.
Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.
Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.
Hawa huwezi sikia Wakina Makala, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lissu.
Kule Kilimanjaro kuna raia wanachangishana kulima barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Kodi unalipa mkuu, hata bando la kuingia humu umelipa kodi. Sema tu ni uelewa wako finyu ndio maana unadhani hulipi.Me kodi yangu atakula mama mwenye nyumba tu
Ila hao wengine mpaka tujielewe kwanza
Tuanze na wewe hapoKulalamika pekee hakutoshi. Mbona watanzania tunapenda sana kulalamika bila vitendo. Tuchague moka, tukae kimya au na sisi tuandamane kama huko Kenya.
Jipimie aseee
Huyo ni mzalendo wakweli,na anaishi maadili yake na kiapo chake cha kazi, siyo watumishi wote wanatama,wengine wengi tu wanaridhika na mishahara yao!!Hivi hao wafanyakazi wa tra ni wote wanapesa mbon kuna jamaa yangu namjua hana cha maan au mfagiaji yule!
Wajinga ndio waliwao!
Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.
Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.
Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.
Hawa huwezi sikia Wakina Makala, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lissu.
Kule Kilimanjaro kuna raia wanachangishana kulima barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Unamfundisha mtoto uzalendo halafu kesho unasikia,fulani wamepiga mihela ya kutosha halafu wanadunda mtaani.Uzalendo umebeba vitu vingi sana. Tukianza kuwafundisha uzalendo wa kuheshimu Mali za ndani nadhani hata za nje pia wataziheshimu vile vile