Sungura dume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 571
- 527
Angekuwa yupo local government huyo mfano mtendaji wa Kijiji kala million moja looo yaani mapema Kesha pandishwa mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
B7 ukiziweka ktk mzunguko ni hela ndogo sana..Mzee B7,
Utaweka mzunguko gani zaidi ya kutengeneza unnecessary attention [emoji19]
Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.
Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.
Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.
Hawa huwezi sikia Wakina Makala, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lissu.
Kule Kilimanjaro kuna raia wanachangishana kulima barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Sahivi uchawa unalipa kuliko kushughulikia matatizo ya nchiNi kweli. Lakini lazima kuna wawili watatu ambao hawapo hivyo. Tusiwakatishe tamaa endapo wamo humu na wanasoma.
Kama taifa lazima tuwe na dira ya taifa na siyo maono ya RaisIn all honest, unachosema kuwa waendelee kuiba, na wakati ni kweli wengi wamo humu, siyo kwamba ina encourage zaidi hiyo situation?
“What you’re saying, is a blanket statement”, ambayo inaweza ikafunika hata cheche mbili tatu za mabadiliko kama zipo, na kuzizima!
Just do what’s right man. Hizo kauli siyo nzuri. Zinaweza kuchangia kuzima cheche mbili tatu za mabadiliko kama zipo.
Just do and say what you think it’s right. The rest leave it to beaver.
Halafu lazima uwe na malengo unaposema hivyo. Sasa malengo yako ni nini?
Nyingi zinapigwayaani TRA inatakiwa ivujwe isukwe upya. Mimi nilisha wahi kulipia kodi ya jengo kwenye office za TRA Bagamoyo nikapewa list lakini huku Dar ikawa inaonyesha sijalipa. Nikaenda uffisini kwao Dar wakaniambia TRA ni kama black hole ikisha ingiza pesa huwezi kuzitowa. Sasa nikawa na jiuliza kama mtu akilipa kodi eneo moja hakuna system ya kuonyesha kwenye eno lingine zimelipwa inawezekana kodi nyingi haziripotiwi zinaishia mifukoni mwa watu wachache.
System nzima ya nchi imeoza mkuu siyo TRA pekeeyaani TRA inatakiwa ivujwe isukwe upya. Mimi nilisha wahi kulipia kodi ya jengo kwenye office za TRA Bagamoyo nikapewa list lakini huku Dar ikawa inaonyesha sijalipa. Nikaenda uffisini kwao Dar wakaniambia TRA ni kama black hole ikisha ingiza pesa huwezi kuzitowa. Sasa nikawa na jiuliza kama mtu akilipa kodi eneo moja hakuna system ya kuonyesha kwenye eno lingine zimelipwa inawezekana kodi nyingi haziripotiwi zinaishia mifukoni mwa watu wachache.
KABISA YANI TUNACHAGUA VIONGOZI WAJINGA NDIO TUNAWAPA DHAMANA.Inasikitisha sana!!! Ndio maana professor Lumumba wa Kenya alisema "In Africa we elect fools to the office ".
Waziri mwenyewe wa fedha chenga tu PHD yake ya mchongo wizara ya fedha wamewekwa watu wa michongo michongo,ukabila,kujuana kwingi,hakuna uwajibikaji fedha TRA wanakusanya na kugawana tu,kweli Tz ni shamba la bibi.
Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.
Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.
Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.
Hawa huwezi sikia Wakina Makala, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lissu.
Kule Kilimanjaro kuna raia wanachangishana kulima barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
Sasa unadhani ofisi za umma zikikaliwa na wapumbavu kuna nn humo kinaendelea zaidi ya ushenzi mwingi tu.KABISA YANI TUNACHAGUA VIONGOZI WAJINGA NDIO TUNAWAPA DHAMANA.
Kila siku huwa nasema jpm hakuonea mtu bali serikalini yamejaa majuzi na ndo fedha zao zilichukuliwa sababu zilipatikana kwa wizi.nashangaa baada ya mama hela za wizi akawarudisha.hata hivyo inaonekana hata mama anawaogopa kuwashughulikia.kwa kweli nawapongeza sana vijana wa gen z wa Kenya kwa hatua walizochukua na sisi pia tunatakiwa kufanya hivyo shida vijana wa Tz hawana ujasiri.
Gazeti la Raia mwema leo, Julai 10, 2024, linaeelezea utajiri wa kutisha wa mabosi wa TRA, hawa ndio wale hutuma vijana wao waje kiusumbua mtaani na kodi za Tsh. 100,000 wakati kuna watu wanakwepa kodi za trilion za pesa kwa makubaliano.
Hawa ndio wale tunaambiwa tutunze amani ili waibe na kula kwa amani, yaani ukisikia tenzi za amani yetu sababu ni hizo hapo.
Rais anasisitiza tulipe Kodi, Mwigulu anasisitiza tulipe kodi, Ila shida inakuja kwenye matumizi ya hizo kodi tunazo komaliwa tulipe na tunaambiwa kulipa kodi ni uzalendo. Na hawa watu ni kama Raisi anawaogopa sana.
Ndio maana nashangaa sana wanao jitolea mara kujenga Zahani mara shule, kwa sababu base ya kujitolea haiwezi kuwa habari kama hizi za fedha kupigwa na wengine mnambiwa wajitolee kujenga shule au Barabara au changishaneni.
Jiulize watuhumiwa wa report ya CAG wanafanywaga nini? hawakuna wanacho fanywa na sio hivyo tu bali pia husamehewa.
Hawa huwezi sikia Wakina Makala, na kampuki yake wanawazungumzia, huwezi wakuta waimba pambio humu wanazungumzia mambo kama haya. Wao wako busy na Mbowe na Lissu.
Kule Kilimanjaro kuna raia wanachangishana kulima barabara, vipi wanapo sikia habari kama hizi?
hatustahili kuitwa nchi masikiniWana masihara hao waandishi, yaani unamaanisha ameweka nyumbani MILIONI ELFU SABA
7,000,0000,000/-
Yaani noti za elfu kumi MILIONI SABA
Ukishakuwa staff wa TRA ukawa na vijana wako unakufaje maskini?🤣TRA pamoja na kuwa na kutengo cha internal investigation bado tu wanapiga kwa kwenda mbele.
Hapo hakuna mfanyakazi maskini labda utake mwenyewe.
Kila mtu kwenye idara yake ni kututandika tu.
System ya nchi iko corrupt inahitajika re shuffle ya nguvu na Kwa system ya katiba yetu anahitajika raisi mnoko na mfuatiliaji kama Magufuli unless otherwise katiba ibadilike na tu copy katiba ngumu kama ya China. Wale hawaruhusiwi kufanya ucenge nchini kwao ila wakachote hela sehemu nyingine WAPELEKWE kwao na wanapewa full support na SERIKAli yao.Nashangaa takukuru wanafanya nini? Raisi awakumbushe majukumu yao akikaa kimya inaleta ukakasi ukiangalia wanavyokomaa na walipa kodi wadogo na kuua mitaji yao huku wao wakilijimbikizia mali inaleta hasira
Hao watoto wa kichaga humo ndio kwao, hapo wazazi wame lobby kinoma na ku temper na mifumo Ili vijana wao waingie kwenye line ya hela.🤣 Hamna mchaga fala aisee.TRA kuna maajabu sana yaani vijana wa 2000 wamemaliza vyuo sababu ni wachaga wamepata kazi TRA wana ukwasi na magorofa ya hatari.
Yupo.kijana mmoja mtoto wa Shao( maarufu kama mtoto wa mama teddy) pale mbezibeach rainbow kamaliza ifm miaka ya 2018. Nilimkuta kwa mkuu wa wilaya anafuatilia kibali cha kumiliki bastola kisa yupoTRA ana pesa nyingi eti atakabwa.
Yupo mwingine Ngajiro alikiwa longroom lakini walimfukuza kwa ufisadi. Kuna akina Kimaro na wale wa airport Tra wana ukwasi wa hatari.
Sijui takukuru wamelala wapi. Na ile Fass sijui ya TRA law enforcement department inafanya kazi gani.
Ndio maana yake, we unalipa hela wao wanagawana halafu unategemea uzalendo Kwa style hio?Mlipe kodi ili waendelee kujikusanyia ukwasi
Kuna mtu mmoja mpuuzi nilisoma bandiko lake Jana anadai eti, "Unaandamana mwisho uumie Kwa faida ya nani?"Hawa tunawachekea sana na wanafanya hayo yote, wakijua hakuna wa kufanya lolote. Tutalalamika kwenye mitandao, miaka inaenda na hakuna kinachobadilika.
Watanzania kupanga ni kuchagua, mlipe kodi kuwafanya kundi fulani wawe mabilionea. Au kuchukua hatua cake ya taifa iliwe na wote. Uamuzi uko mikononi mwenu.