Mfanyakazi wa Vodacom aeleza alivyochunguza Simu za Sabaya

Mfanyakazi wa Vodacom aeleza alivyochunguza Simu za Sabaya

Inategemeana na rules za nchi husika. America inawapa uhuru makampuni kulinda haki za wateja. In Tz ni tofauti kabisa
Tz hata boss wako anapewa data zako zotee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mawakili ni majizi yapo kibiashara zaidi. Yanajua kabisa unafungwa ila wanakukamua hadi senti ya mwisho.

Dawa malipo yafanyike baada ya kesi kwisha na uwe umeshinda.

Ngumu kumeza, na daktari au kituo cha afya alipwe/kilipwe baada ya mgonjwa kupona au kufa??🙌
 
Sms mkuu ndo evidence inayokubalika kwetu hapa ni sms na transactions tu na siyo call logs, call logs ni katika kutambua tu kuwa x, y na z walikuwa na mawasiliano na walisomeka wapi so mambo mazuri tuendelee kuwa makini na simu zetu
Umakini wa kweli tuache kuvunja sheria tukitegemea watu furani watulinde.
Dunia ya leo haina siri.
Unavunja sheria wazi wazi kisha utegemee msaada wa kampuni ya simu!!
Siyo kweli
 
Customer privacy...
Kampuni kama apple hawawezi kutoa Customer privacy hata siku mojaj
Wanatoa kulingana na sheria na ndiomaana zinatunzwa vinginevyo zisingetunzwa kabisa.

Wanavyosema kutoa taarifa za mteja hawamaanishi taarifa zake zote. Ni kwa specific. Ndiomaana unaona taarifa inataja mawasiliano kutoka namba X kwenda Y na Z na tarehe na muda
 
Sheria za Tz ni mbovu.... Ila US FBI hawasumbuki na wenye makampuni wana back doors zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unaongea kitu kile kile Mkuu, FBI hawasumbuki na service providers kwasababu wako mbali ki technology kwamba wanao uwezo wa kupata hizo taarifa bila kumtegemea service provider

Hapa kwetu serikali inawategemea kwasababu bado hatujafikia hiyo level waliyonayo FBI
 
Hivi huko mahakamani wakili wa mtuhumiwa ushahidi wa wazi ukiletwa mezani na usiokua na shaka hua anafanyeje? Anabisha tu kama huku mtaani kwetu au anakubali? Na akikubali si ni kama amemsaliti mteja wake?
😂😂😂
 
Wanatoa kulingana na sheria na ndiomaana zinatunzwa vinginevyo zisingetunzwa kabisa.

Wanavyosema kutoa taarifa za mteja hawamaanishi taarifa zake zote. Ni kwa specific. Ndiomaana unaona taarifa inataja mawasiliano kutoka namba X kwenda Y na Z na tarehe na muda
Umefafanua vizuri mkuu.
Wengi wetu wanadhani wakiwa na simu zao mahali pa faragha hujiona wako salama.
Tujichunge na tabia za kuvunja sheria.
Unatumia simu kupanga njama za kupora watu, kuhujumu nchi nk, ukiamini kampuni ya simu inaweza kukupa ulinzi!!
 
Customer privacy...
Kampuni kama apple hawawezi kutoa Customer privacy hata siku mojaj
Apple na VODACOM wapi na wapi?

Ukiweka line yako ya VODACOM (T) kwenye Iphone, taarifa zako za kupiga, kubeep, kupokea simu na sms zipo hatarini na “Apple” hawawezi kukusaidia
 
So mtu kufananisha Apple na vodacom/tigo/airtel ni sawa kwako? Service provider unapohitajika kutoa taarifa na mamlaka (Mara nyingi kupitia warrant ya mahakama) lazima utoe, so wanaoilaumu Vodacom wanashangaza sana
Nenda kasome customer privacy policy za voda afu urudi tena hapa kuja kuprove unachokisema
 
Hivi huko mahakamani wakili wa mtuhumiwa ushahidi wa wazi ukiletwa mezani na usiokua na shaka hua anafanyeje? Anabisha tu kama huku mtaani kwetu au anakubali? Na akikubali si ni kama amemsaliti mteja wake?
Lazima atatafuta namna ya kubisha ili tu kuonyesha ushahidi huo si halali si unajua tena hapo ndipo anapopatia ugali wake mkuu..
 
Back
Top Bottom