Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Watu wameiba sheliSheli katapeliwa vipi?
mkuu unataka kumsaidia au?Sheli katapeliwa vipi?
Mfanyakazi aligeuka kilaza sijui mjinga.Toa maelezo ilikuaje?
Sheli katapeliwa vipi?
Inawezekanamkuu unataka kumsaidia au?
Neno tapeli limetoka kwenye kifaransa na chanzo chake ni wimbo wa hemed maneti vijana jazz wimbo matapelitapeli
Na mitandaoni ndiyo kuna matapeli wengi wa kupiga kiberitiUmetuhusisha matapeli wenyewe juu ya uamuzi wako ?
Tapeli ni kifaransaUmetuhusisha matapeli wenyewe juu ya uamuzi wako ?
🤣🤣🤣🤣Mfanyakazi aligeuka kilaza sijui mjinga.
Mteja amepiga simu anataka bidhaa tukakubaliana na bei, nikamkabidhi bidhaa apeleke wampe laki tatu, akaondoka wakamwambia wako sheli walikuwa ni wadada kwenye kigari kidogo kufika akawapa mzigo wakamwambia wametuma hela hata ajajisumbua kuuliza kama nimetumiwa hela wala nini, anarudi mikono mitupu ananiambia aliwaamini kwa sababu ni wadada.
Pole sana mkuu.Mfanyakazi aligeuka kilaza sijui mjinga.
Mteja amepiga simu anataka bidhaa tukakubaliana na bei, nikamkabidhi bidhaa apeleke wampe laki tatu, akaondoka wakamwambia wako sheli walikuwa ni wadada kwenye kigari kidogo kufika akawapa mzigo wakamwambia wametuma hela hata ajajisumbua kuuliza kama nimetumiwa hela wala nini, anarudi mikono mitupu ananiambia aliwaamini kwa sababu ni wadada.
Pole sana ila muulize vizuriMfanyakazi aligeuka kilaza sijui mjinga.