kwahiyo mtu anayeongea kifaransa akiibiwa anasema komatutapeli? 😀Neno tapeli limetoka kwenye kifaransa na chanzo chake ni wimbo wa hemed maneti vijana jazz wimbo matapeli
Kuna mkongo alipigwa za uso pale posta kwenye picha ya sanamu ya bismark sasa akaanza kulalamika komatitapeli komatitapeli jamaa wakajua jamaa mkongo kashapigwa tayari na wabongo ndipo wakatoa wimbo wanaitwa matapeli
Komatitapeli shemapeli kupekupe kumbamba weeeeba
Hii hela ni kubwa kulingana na business yake, lazima akasirikeSasa lak tatu unataka kuua?
Unajifunza biashara wewe
SawaSasa lak tatu unataka kuua?
Unajifunza biashara wewe
Yawezekana pia amekunyoosha huyo mfanyakazi wako. Mimi hilo deni angelipa huyo mfanyakazi maana hajafuata maelekezi yangu niliyompaMfanyakazi aligeuka kilaza sijui mjinga.
Mteja amepiga simu anataka bidhaa tukakubaliana na bei, nikamkabidhi bidhaa apeleke wampe laki tatu, akaondoka wakamwambia wako sheli walikuwa ni wadada kwenye kigari kidogo kufika akawapa mzigo wakamwambia wametuma hela hata ajajisumbua kuuliza kama nimetumiwa hela wala nini, anarudi mikono mitupu ananiambia aliwaamini kwa sababu ni wadada.
Wajinga hawaish acha wapigweToa maelezo ilikuaje?
Na wanachangia madaWapo humu wanasoma arafa
Ndio alete story za kuua?Hii hela ni kubwa kulingana na business yake, lazima akasirike
Kama mapalestina huko Gazza kulialia na kuekt victims?Dunia ina mambo ya kijinga sana hii
Sidhani, jamaa atakuwa kasha-comfirm kwa kuwapigia simu watakuwa hawapatikani tena au hawapokei..Yawezekana pia amekunyoosha huyo mfanyakazi wako. Mimi hilo deni angelipa huyo mfanyakazi maana hajafuata maelekezi yangu niliyompa
Niliisikia hii akiongea Jenerali Ulimwengu, niliangalia google wao waaiandika na kuitamka tofauti. Komatitapeli ni "Comment tu t'appelles" is a French phrase that translates to "What's your name?" in English.Neno tapeli limetoka kwenye kifaransa na chanzo chake ni wimbo wa hemed maneti vijana jazz wimbo matapeli
Kuna mkongo alipigwa za uso pale posta kwenye picha ya sanamu ya bismark sasa akaanza kulalamika komatitapeli komatitapeli jamaa wakajua jamaa mkongo kashapigwa tayari na wabongo ndipo wakatoa wimbo wanaitwa matapeli
Komatitapeli shemapeli kupekupe kumbamba weeeeba
ilikuwaje? tell your storyHaki ya nani nikikutana na mwizi au tapeli wa aina yoyote nanunua petrol na kiberiti, kama sina hela namkanyaga shingoni paka afie hapo.
Nina hasira kilo mbili na nusu.
Inaumiza sanaMfanyakazi aligeuka kilaza sijui mjinga.