Mfanyakazi wangu ametapeliwa bidhaa zenye thamani ya Tsh. 300,000 Goba njia nne kwenye sheli

Isijekua huyo aliyekuambia ametapeliwa ndio amekutapeli
 
Hapa kuna utata,walijuaje kama atakayepeleka mzigo ni dada wa kuuza duka,je ungepeleka mwenyewe ina maana wasingekulipa?Hapa ninahisi inawezekana walituma kweli ila wamekosea namba au baada ya kuona ni mdada wakajiongeza kumpiga kitu kizito.Wadada wa mjini kwakweli sio wa kuwaamini,halafu unaweza kukuta ni hawa walioweka avatar za sura nzuri nzuri humu JF......
 
📌📌📌kubali tu kugawana UMASIKINI na wananchi wenzako HAKUNA NAMNA!!!

KWA UTITIRI HUU WA JOBLESS,DASLAM INAWATU WENGI SANA ILA NUSU YAO NI WAZURURAJI UNATEGEMEA NINI.
 

Comment t'appelez(What's your name)

Je m'appelle (My name is)
Niliacha kusoma French form 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…