Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

wanawake wengi wanapenda kuwa washikaji kwa mwanaume anayempenda

kama ajakupenda na unataka kumfanya awe mshikaji hapo utakuw unataka kuoga bila kuloana

All in All mapenzi ya ushikaji yani kumfanya mpenzi kama rafiki ni matamu sana hasa mkipendana
Haki huyu jamaa angekuwa jf ningemtag aone huu ujumbe🥰🥰

Uko sahii asilimia buku mkuu..
Mwamba kuna time tukitembea ananishika basi najiona kama mtoto wa shule🤣🤣(na hili nilivyo mfupi sasa(mwamba ni super tall)namwambia mwana bora uniwekee mkono begani😁😁ana reply sawa chaliangu 🥰🥰ayeee

Fulu burudani yani
 
Naelewa sana, kuna siku mi na mchizi wangu kichizi tulikua tunalala chini kwenye tiles, mara show bafuni, ilikua n hatari. Lakin bado tukaachana ila nilienjoy mno
Lakini ninauhakika angalau kuna moments huwa unazikumbukaga au hata kutamani huyo uliyenae awe nazo🥰🥰si ndio
 
Back
Top Bottom