Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hakika Mjukuu, wishing all the best 🙏🙏Tuendelee kuomba Neema babu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Mjukuu, wishing all the best 🙏🙏Tuendelee kuomba Neema babu..
Uncle dereva niliandika kichwa cha habari kutokea hapo lakini hakikunibariki kabisa nikaona bora hiki kilichopo sasa hivi.
Upo uncle dereva!umemissika kutokea dunia ya upande huu wa pili😊
Dah love u more my crush🤗🤗🤗Ndio twende tuka nanii Ikulu huku upepo ukitupepea .
🙏🙏Thank you babu 🤗🤗
Mapenzi ya kishikaji ni matamu sana😁Tuonane paradiso 😁😁😁nimejikuta naanza kuuimba huu wimbo
Nilikuwa sijaisoma hii 🤗Mnoooo….mguu juu ya meza bendi kidogo😁😁chaeee💃💃
kumbe kweli basi you're damn good....napenda sana wanawake ambao wanaopenda masiala fulani hivi,wacheshi,wapo romantic😜We nawe yalı kila kitu una assume ni ndoto heee
U are ma favorite 🤗🤗🤗Mapenzi ya kishikaji ni matamu sana😁
🤣🤣🤣🤣Lakini dada mimi nikikaa mshikaji u tell I’m not romantique.
Baba Mwampoo is a man and half.. tumpe tu maua 🌺🌺
Najua anajua uliamka saa 8 ukala tikiti.. we dada ni mwamba geu
😅😅😅Naomba uongeze sauti jamani🥰🥰🥰
😂😂😂 and the so called ugaidi must go to hell.. I wanna be a new born🤣🤣🤣🤣🤣🤣
sasa the prob mdogo wangu wewe unakuwa gaidi kila mahali, mwenzio Mimi nina pahala na pahala..!!
matikiti yana nafasi yake mbinguni walaqhi',🍉
Mungu amtunze daima hakika..!!🙏