Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž

Uncle dereva niliandika kichwa cha habari kutokea hapo lakini hakikunibariki kabisa nikaona bora hiki kilichopo sasa hivi.

Upo uncle dereva!umemissika kutokea dunia ya upande huu wa pili๐Ÿ˜Š

Umemisika pia aunt abiria toka upande huu wa kwanza wa dunia โ˜บ๏ธ
 
Lakini dada mimi nikikaa mshikaji u tell Iโ€™m not romantique.

Baba Mwampoo is a man and half.. tumpe tu maua ๐ŸŒบ๐ŸŒบ

Najua anajua uliamka saa 8 ukala tikiti.. we dada ni mwamba geu
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
sasa the prob mdogo wangu wewe unakuwa gaidi kila mahali, mwenzio Mimi nina pahala na pahala..!!

matikiti yana nafasi yake mbinguni walaqhi',๐Ÿ‰

Mungu amtunze daima hakika..!!๐Ÿ™
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
sasa the prob mdogo wangu wewe unakuwa gaidi kila mahali, mwenzio Mimi nina pahala na pahala..!!

matikiti yana nafasi yake mbinguni walaqhi',๐Ÿ‰

Mungu amtunze daima hakika..!!๐Ÿ™
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ and the so called ugaidi must go to hell.. I wanna be a new born๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Unavyoyala sasa utadhani hata unaujua msimu wake.

Eiiiimeeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ