Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wakoπŸ’žπŸ’ž

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ and the so called ugaidi must go to hell.. I wanna be a new born🀣🀣

Unavyoyala sasa utadhani hata unaujua msimu wake.

Eiiiimeeeen
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
IJN i receive a new born baby, Ameeen..!!

Kwani Morogoro ni mbali..?? 'nimekumbuka kile kilimo cha matikiti cha kwenye makaratasi..!'πŸ˜…πŸ˜…
 
Hayo mambo ni karama,not for everyone,Kuna watu mapenzi ni too official
 
Unauonea sana mdomo wangu ujue🀣🀣

Gudinaiti
Ulitakiwa umeuchapa usingizi ulipomaliza zoezi la kubinukia kitchen cabinet na stove

,umekimbilia kutupatia uzi ili ututambie tuπŸ˜…
Next time muumuke hizo WOWO kwa moto.
 
Ulitakiwa umeuchapa usingizi ulipomaliza zoezi la kubinukia kitchen cabinet na stove

,umekimbilia kutupatia uzi ili ututambie tuπŸ˜…
Next time muumuke hizo WOWO kwa moto.
Mbona unanifokea sasa jamani….si tulikubaliana nibembelezwe!😁

Na wowowo halitoungua ng’odo😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…