Na Kiluvya iko Kisarawe -Pwani.Sio Kibamba ni Kiluvya madukani
kinyesi ni mbolea, na mmea au mbogamboga zikue vizuri zinahitaji mboleaMboga mboga Dar ni kinyesi kitupu...ni kukaza roho tuu..
Kinyesi ni mboleaNi hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda utakutana na harufu nzito, hapo kuna mfereji uliochepushwa kutokea vilipo vyoo vya soko la Maili Moja stendi ya zamani.
Maji machafu kutoka chooni yameachiwa kupitia karavati dogo la hapo hata pasipo kuambiwa na mtu, ukifika utaona tu kuwa hiki ni kinyesi. Mbaya zaidi yale maji machafu yanatiririka kuelekea ulipo mfereji mkuu na wakulima wa mboga wanayatumia kumwagilia mboga mboga!
Swali langu Ofisi ya Bwana Afya wa Wilaya na Kata siku hizi kazi zake ni zipi? Zamani kulikuwa na patroo nyumba kwa nyumba kukagua hali ya usafi, siku hizi hakuna! Kama kuna kiongozi yeyote eneo hili tajwa ameona bandiko hili, mara moja akatatue hii kero!
Mtatuua na mnatuua kwa uzembe wenu!
Tena mbolea hoyo ni ya asiliKinyesi ni mbolea. Ili mmea ukue vizuri unahitaji mbolea,mbolea sio lazima kiwe kinyesi cha kuku na ng'ombe, hataa kinyesi cha binadamu nacho ni mbolea na kina nutrients nyingi
.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tena mbolea hoyo ni ya asili
Bab kubwa
Ova
Chemistry inasemaje kuhusu difusion?Morogoro wanatumia mabaki ya tumbaku kama mbolea kwenye ukulima wa mbogamboga,hatari sana issues ya nicotine
Nilivyoona neno mfereji nimeshtuka kweli!Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda utakutana na harufu nzito, hapo kuna mfereji uliochepushwa kutokea vilipo vyoo vya soko la Maili Moja stendi ya zamani.
Maji machafu kutoka chooni yameachiwa kupitia karavati dogo la hapo hata pasipo kuambiwa na mtu, ukifika utaona tu kuwa hiki ni kinyesi. Mbaya zaidi yale maji machafu yanatiririka kuelekea ulipo mfereji mkuu na wakulima wa mboga wanayatumia kumwagilia mboga mboga!
Swali langu Ofisi ya Bwana Afya wa Wilaya na Kata siku hizi kazi zake ni zipi? Zamani kulikuwa na patroo nyumba kwa nyumba kukagua hali ya usafi, siku hizi hakuna! Kama kuna kiongozi yeyote eneo hili tajwa ameona bandiko hili, mara moja akatatue hii kero!
Mtatuua na mnatuua kwa uzembe wenu!
Kwa hiyo kila wiki unafunga safari kwenda Kerege kununua mboga?Sinunui mbogamboga Dar!
Nikitakaga mboga navuka Dar yote, kuazia Kerege mpaka Bagamoyo ndiyo maeneo ya uhakika wa Mbogamboga safi
HapanaNa Kiluvya iko Kisarawe -Pwani.
nilitaka kumueleza hili umeniwahi.Kinyesi hakina shida
Hata kuku na bata wanakula!
Kama hayo maji yana chemicals zenye sumu huo ndio uchafu mbaya!
Maji ya kinyesi si hatari kwa afya
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
UongoSinunui mbogamboga Dar!
Nikitakaga mboga navuka Dar yote, kuazia Kerege mpaka Bagamoyo ndiyo maeneo ya uhakika wa Mbogamboga safi
Wachina wachafu sana. Humo kuna mavipindupindu, mataifodi, ma amoeba, ma minyoo ma tetenus na magonjwa mengine kibao kibao. Mbolea ya binadamu haifai kwa mbolea, na nchi zingine ukitaka kutumia mbolea ya wanyama lazima uichome na utumie majivu yake.Miaka ya zamani kidogo wachina waliokuwa wakifanyia kazi kwenye mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira kule Kyela walikuwa wakiishi sehemu panaitwa Kayuki (Siku hizi hiyo kambi yao ni shule ya sekondari)...wale jamaa walikuwa wakimwagilia Spinachi ambayo inafahamika kama Chinese kwa kinyesi cha binadamu...na ilistawi sana...wanyakyusa wa Ushirika wakasema hatuli kabisa Chinese...ile mbolea ikishaingia kwenye mizizi inakuwa converted kuwa chakula cha mmea kwa utaratibu wa osmosis kama ulimfuatilia mwalimu wako wa bayoloji, muhimu osha vizuri kabla ya kuila....