KERO Mfereji wenye maji yenye kinyesi unatumiwa kumwagilia bustani za mbogamboga Kibaha Maili Moja, Wataalamu wetu mko wapi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Miaka ya zamani kidogo wachina waliokuwa wakifanyia kazi kwenye mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira kule Kyela walikuwa wakiishi sehemu panaitwa Kayuki (Siku hizi hiyo kambi yao ni shule ya sekondari)...wale jamaa walikuwa wakimwagilia Spinachi ambayo inafahamika kama Chinese kwa kinyesi cha binadamu...na ilistawi sana...wanyakyusa wa Ushirika wakasema hatuli kabisa Chinese...ile mbolea ikishaingia kwenye mizizi inakuwa converted kuwa chakula cha mmea kwa utaratibu wa osmosis kama ulimfuatilia mwalimu wako wa bayoloji, muhimu osha vizuri kabla ya kuila....
 
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda utakutana na harufu nzito, hapo kuna mfereji uliochepushwa kutokea vilipo vyoo vya soko la Maili Moja stendi ya zamani.

Maji machafu kutoka chooni yameachiwa kupitia karavati dogo la hapo hata pasipo kuambiwa na mtu, ukifika utaona tu kuwa hiki ni kinyesi. Mbaya zaidi yale maji machafu yanatiririka kuelekea ulipo mfereji mkuu na wakulima wa mboga wanayatumia kumwagilia mboga mboga!

Swali langu Ofisi ya Bwana Afya wa Wilaya na Kata siku hizi kazi zake ni zipi? Zamani kulikuwa na patroo nyumba kwa nyumba kukagua hali ya usafi, siku hizi hakuna! Kama kuna kiongozi yeyote eneo hili tajwa ameona bandiko hili, mara moja akatatue hii kero!

Mtatuua na mnatuua kwa uzembe wenu!
Kinyesi ni mbolea
 
Sasa ni zaidi ya mika sita mboga kwaajili ya familia yangu nazalisha mwenyewe nyumbani kwangu. Baada ya kuuziwa mboga iliyopulizwa dawa kuua wadudu iitwayo SnowCrone kabla ya kuchumwa....
 
Nadhani kwa kuwa hatujasikia kama kuna mlipuko wa Kipindupindu hapo maeneo ya Kibaha tuamini hizi mboga ni salama!
After then haziliwi zikiwa mbichi,zinaoshwa na harafu zinapikwa ili kuua bacteria.
 
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda utakutana na harufu nzito, hapo kuna mfereji uliochepushwa kutokea vilipo vyoo vya soko la Maili Moja stendi ya zamani.

Maji machafu kutoka chooni yameachiwa kupitia karavati dogo la hapo hata pasipo kuambiwa na mtu, ukifika utaona tu kuwa hiki ni kinyesi. Mbaya zaidi yale maji machafu yanatiririka kuelekea ulipo mfereji mkuu na wakulima wa mboga wanayatumia kumwagilia mboga mboga!

Swali langu Ofisi ya Bwana Afya wa Wilaya na Kata siku hizi kazi zake ni zipi? Zamani kulikuwa na patroo nyumba kwa nyumba kukagua hali ya usafi, siku hizi hakuna! Kama kuna kiongozi yeyote eneo hili tajwa ameona bandiko hili, mara moja akatatue hii kero!

Mtatuua na mnatuua kwa uzembe wenu!
Nilivyoona neno mfereji nimeshtuka kweli!
 
Kinyesi hakina shida
Hata kuku na bata wanakula!
Kama hayo maji yana chemicals zenye sumu huo ndio uchafu mbaya!

Maji ya kinyesi si hatari kwa afya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
nilitaka kumueleza hili umeniwahi.
huwa kuna process za kuua wadudu wapatikanao ndani ya kinyesi. zamani bustani za magereza dar mboga zao zilikua zimenawiri walikua wakitumia hii kitu.
 
Miaka ya zamani kidogo wachina waliokuwa wakifanyia kazi kwenye mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira kule Kyela walikuwa wakiishi sehemu panaitwa Kayuki (Siku hizi hiyo kambi yao ni shule ya sekondari)...wale jamaa walikuwa wakimwagilia Spinachi ambayo inafahamika kama Chinese kwa kinyesi cha binadamu...na ilistawi sana...wanyakyusa wa Ushirika wakasema hatuli kabisa Chinese...ile mbolea ikishaingia kwenye mizizi inakuwa converted kuwa chakula cha mmea kwa utaratibu wa osmosis kama ulimfuatilia mwalimu wako wa bayoloji, muhimu osha vizuri kabla ya kuila....
Wachina wachafu sana. Humo kuna mavipindupindu, mataifodi, ma amoeba, ma minyoo ma tetenus na magonjwa mengine kibao kibao. Mbolea ya binadamu haifai kwa mbolea, na nchi zingine ukitaka kutumia mbolea ya wanyama lazima uichome na utumie majivu yake.
 
Back
Top Bottom