N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Miaka ya zamani kidogo wachina waliokuwa wakifanyia kazi kwenye mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira kule Kyela walikuwa wakiishi sehemu panaitwa Kayuki (Siku hizi hiyo kambi yao ni shule ya sekondari)...wale jamaa walikuwa wakimwagilia Spinachi ambayo inafahamika kama Chinese kwa kinyesi cha binadamu...na ilistawi sana...wanyakyusa wa Ushirika wakasema hatuli kabisa Chinese...ile mbolea ikishaingia kwenye mizizi inakuwa converted kuwa chakula cha mmea kwa utaratibu wa osmosis kama ulimfuatilia mwalimu wako wa bayoloji, muhimu osha vizuri kabla ya kuila....