Mficha maradhi kifo humuumbua!

Mficha maradhi kifo humuumbua!

Mkimbizi99

Senior Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
103
Reaction score
139
Habari za wakati huu...

Mimi ni binti wa miaka 25 mwenye uhitaji wa kazi. Mimi nina shahada ya uchumi sera na mipango kutoka chuo cha Mzumbe. Niko hapa kuwaomba msaada wa kupata kazi yoyote ya halali, na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya na nina uzoefu nazo,

Business operation lead,
Hapa nilifanya kazi hii kwenye duka la jumla kwa muda wa miaka miwili na majukumu yangu yalikuwa na kusimamia operation zote za store, kusimamia manunuzi ya bidhaa zote zinazoingia store na kutoka pia kusimamia wafanyakazi wauzaji katika ofisi hiyo.

Sales and marketing officer,
Hapa nilifanya kazi hii nikiwa na majukumu ya kutafuta oder na kuhakikisha kupata wateja wapya, kudhibiti mahusiano na wateja na kujadiliana kufikia malengo ya mauzo.

Data collector and research assistant, hapa nilifanya kazi hii kwa muda mfupi kwenye NG'O inayohusika na utunzaji wa mazingira na majukumu yangu yalikuwa ni kukusanya data kwa walengwa, kufanya uchambuzi wa data na kuandaa ripoti ya kazi.

Assistant tax officer(field practice),
hapa nilipata mafunzo kwa vitendo kwenye ofisi ya TRA dodoma na majukumu yangu ni kuandaa invoice kwa wateja na kufanya mawasiliano na wateja juu ya upimwaji na ulipaji kodi ya mabango.

Skills nilizonazo ni pamoja na,
Negotiation skills
customer service skills
leadership skills
problem solving skills
research skills
team player
proficient with Microsoft skills

Kwakusema hayo, natanguliza shukrani kwa yeyote atakaeguswa na maelezo yangu na kunipatia msaada wa kazi yoyote ya halali iliyo ndani ya taaluma ama ujuzi wangu na hata nje ya hapo nipo tayari kufanya. Kwasasa nipo Dodoma niko tayari kufanya kazi ndani ya dodoma hata nje ya hapa na mawasiliano yangu ni 0657955272.
Asante.
 
Nchi yetu inaendelea kuwaangusha watoto wetu, Nakuombea tu Mungu akusaidie, na angalia sana sana kuna mianaume ya hovyo humu ndani!
 
Sasa, umewahi jaribu hata tafuta kama 500,000 hivi, uende pale Kariakoo, uangalie tu bidhaa, hata mapazia,

Au achana na hela, angalia vitu vya Maitaji muhimu, check upatikanaji wake Kariakoo, na bei, then post kwa fb, status, insta

Ninaamini utapata Wateja Kama utafanya utafiti mzuri, ukipata Wateja Pesa ya kununulia vitu naweza kukusaidia, ila utarudisha!

Ajira ni ngumu kupata, ukipata ni utumwa mwingine na utumikishwaji, laiti Kama tungejua tungeandaa watoto wetu na Biashara tu!
 
Habari za wakati huu...

Mimi ni binti wa miaka 25 mwenye uhitaji wa kazi. Mimi nina shahada ya uchumi sera na mipango kutoka chuo cha Mzumbe. Niko hapa kuwaomba msaada wa kupata kazi yoyote ya halali, na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya na nina uzoefu nazo,

Business operation lead,
Hapa nilifanya kazi hii kwenye duka la jumla kwa muda wa miaka miwili na majukumu yangu yalikuwa na kusimamia operation zote za store, kusimamia manunuzi ya bidhaa zote zinazoingia store na kutoka pia kusimamia wafanyakazi wauzaji katika ofisi hiyo.

Sales and marketing officer,
Hapa nilifanya kazi hii nikiwa na majukumu ya kutafuta oder na kuhakikisha kupata wateja wapya, kudhibiti mahusiano na wateja na kujadiliana kufikia malengo ya mauzo.

Data collector and research assistant, hapa nilifanya kazi hii kwa muda mfupi kwenye NG'O inayohusika na utunzaji wa mazingira na majukumu yangu yalikuwa ni kukusanya data kwa walengwa, kufanya uchambuzi wa data na kuandaa ripoti ya kazi.

Assistant tax officer(field practice),
hapa nilipata mafunzo kwa vitendo kwenye ofisi ya TRA dodoma na majukumu yangu ni kuandaa invoice kwa wateja na kufanya mawasiliano na wateja juu ya upimwaji na ulipaji kodi ya mabango.

Skills nilizonazo ni pamoja na,

Kwakusema hayo, natanguliza shukrani kwa yeyote atakaeguswa na maelezo yangu na kunipatia msaada wa kazi yoyote ya halali iliyo ndani ya taaluma ama ujuzi wangu na hata nje ya hapo nipo tayari kufanya. Kwasasa nipo Dodoma niko tayari kufanya kazi ndani ya dodoma hata nje ya hapa na mawasiliano yangu ni 0657955272.
Asante.
Wale watu WAZITO wa JF hebu Msaidieni mdogo etu huyu, aje ajivunie uwepo wa formu hii plz!!
 
upo vizuri dada angu , Kuna mdosi kwenye wizara Moja kutoa kazi anatoa shida ni mhuni hapo ndio changamoto ilipo
 
Bado sijapata kazi jamani msiniache mdogoenu nikakosa hata pesa ya kula😊🫣
 
Back
Top Bottom