Mficha maradhi kifo humuumbua!

Mficha maradhi kifo humuumbua!

Habari za wakati huu...

Mimi ni binti wa miaka 25 mwenye uhitaji wa kazi. Mimi nina shahada ya uchumi sera na mipango kutoka chuo cha Mzumbe. Niko hapa kuwaomba msaada wa kupata kazi yoyote ya halali, na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya na nina uzoefu nazo,

Business operation lead,
Hapa nilifanya kazi hii kwenye duka la jumla kwa muda wa miaka miwili na majukumu yangu yalikuwa na kusimamia operation zote za store, kusimamia manunuzi ya bidhaa zote zinazoingia store na kutoka pia kusimamia wafanyakazi wauzaji katika ofisi hiyo.

Sales and marketing officer,
Hapa nilifanya kazi hii nikiwa na majukumu ya kutafuta oder na kuhakikisha kupata wateja wapya, kudhibiti mahusiano na wateja na kujadiliana kufikia malengo ya mauzo.

Data collector and research assistant, hapa nilifanya kazi hii kwa muda mfupi kwenye NG'O inayohusika na utunzaji wa mazingira na majukumu yangu yalikuwa ni kukusanya data kwa walengwa, kufanya uchambuzi wa data na kuandaa ripoti ya kazi.

Assistant tax officer(field practice),
hapa nilipata mafunzo kwa vitendo kwenye ofisi ya TRA dodoma na majukumu yangu ni kuandaa invoice kwa wateja na kufanya mawasiliano na wateja juu ya upimwaji na ulipaji kodi ya mabango.

Skills nilizonazo ni pamoja na,

Kwakusema hayo, natanguliza shukrani kwa yeyote atakaeguswa na maelezo yangu na kunipatia msaada wa kazi yoyote ya halali iliyo ndani ya taaluma ama ujuzi wangu na hata nje ya hapo nipo tayari kufanya. Kwasasa nipo Dodoma niko tayari kufanya kazi ndani ya dodoma hata nje ya hapa na mawasiliano yangu ni 0657955272.
Asante.
Hongera Mungu atakujalia
 
Can u work under serious pressure? Au unaweza kuwa PA?
 
Kula la Kher school mate
 
B.O.T ile paleee sema connection kuda deki ,

One days yesu mkuu utayasahau yote
 
Nchi yetu inaendelea kuwaangusha watoto wetu, Nakuombea tu Mungu akusaidie, na angalia sana sana kuna mianaume ya hovyo humu ndani!
Kwan ungetoa ushauri bila kutusagia kunguni sie mashababi ungepungukiwa nin...sijapenda
 
Bado sijapata kazi ndugu zangu, najua kuna watu wanaweza nisaidia humu ndani, msinichoke tafadhali🫣
 
Habari za wakati huu...

Mimi ni binti wa miaka 25 mwenye uhitaji wa kazi. Mimi nina shahada ya uchumi sera na mipango kutoka chuo cha Mzumbe. Niko hapa kuwaomba msaada wa kupata kazi yoyote ya halali, na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya na nina uzoefu nazo,

Business operation lead,
Hapa nilifanya kazi hii kwenye duka la jumla kwa muda wa miaka miwili na majukumu yangu yalikuwa na kusimamia operation zote za store, kusimamia manunuzi ya bidhaa zote zinazoingia store na kutoka pia kusimamia wafanyakazi wauzaji katika ofisi hiyo.

Sales and marketing officer,
Hapa nilifanya kazi hii nikiwa na majukumu ya kutafuta oder na kuhakikisha kupata wateja wapya, kudhibiti mahusiano na wateja na kujadiliana kufikia malengo ya mauzo.

Data collector and research assistant, hapa nilifanya kazi hii kwa muda mfupi kwenye NG'O inayohusika na utunzaji wa mazingira na majukumu yangu yalikuwa ni kukusanya data kwa walengwa, kufanya uchambuzi wa data na kuandaa ripoti ya kazi.

Assistant tax officer(field practice),
hapa nilipata mafunzo kwa vitendo kwenye ofisi ya TRA dodoma na majukumu yangu ni kuandaa invoice kwa wateja na kufanya mawasiliano na wateja juu ya upimwaji na ulipaji kodi ya mabango.

Skills nilizonazo ni pamoja na,

Kwakusema hayo, natanguliza shukrani kwa yeyote atakaeguswa na maelezo yangu na kunipatia msaada wa kazi yoyote ya halali iliyo ndani ya taaluma ama ujuzi wangu na hata nje ya hapo nipo tayari kufanya. Kwasasa nipo Dodoma niko tayari kufanya kazi ndani ya dodoma hata nje ya hapa na mawasiliano yangu ni 0657955272.
Asante.
kuna nafasi ya intern LOAN OFFICER SHAB FINANCIAL SERVICES, ARUSHA.
Unaweza piga 0272976666
 
Back
Top Bottom