Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Mimi ushauri wangu weka vyeti kabatini ingia tu mtaani Anza kujifunza shule ya mtaani kabla umri hujaenda nchi hii Haina ajira ni poteza maboya tuBado sijapata kazi ndugu zangu, najua kuna watu wanaweza nisaidia humu ndani, msinichoke tafadhali🫣