Mficha maradhi kifo humuumbua!

Bado sijapata kazi ndugu zangu, najua kuna watu wanaweza nisaidia humu ndani, msinichoke tafadhali🫣
Mimi ushauri wangu weka vyeti kabatini ingia tu mtaani Anza kujifunza shule ya mtaani kabla umri hujaenda nchi hii Haina ajira ni poteza maboya tu
 
Mkimbizi, hii problem solving skills inakusaidia vipi kwenye hii situation yako binti msomi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…