EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Huko china ulikokuwa masomoni umeshindwa kurudi na mke wa kichina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiduku Lilo nitakufahamisha kwa binti yangu ili uwe mkwe wangu.
Hahahah, wazee wa kufukua makaburiMbwembwe zote zile kumbe unaish Ubungo mkuu!!!
Afu China ulisomea nn au ufundi simu?
hapo ubungo mbona kuna watoto wa kal sana maeneo ya mabibo hostel? wewe domo zege? hujui kama waliopo humu ndo hao wa mtaani kwako? ebu njoo pm nikupe namba ya watoto wakal wife material ujaribu bahat yako."nimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c hawa ni watu ambao nimekuwa kwa ukaribu sana nawasoma threads zao sababu ya mambo kadhaa kadhaa. hasa GuDume the great entertainer na mwelimishaji pamoja na Da'vinci kwa makala zake kadhaa.
mwenzenu nimekuja nahitaji mwenzi. nyie wazoefu humu ndani mnisaidie mwanamke ambaye ana jiheshimu mzuri na serious ambaye nitaweza kudate na kuoana naye. kuna watu kadhaa wanasema wameshawahi pata wanawake wa kuoa humu.nami ngependa nifanikiwe.
1. mke awe mzuri rangi yoyote ila asijichubue
2. elimu kuanzia kidato cha sita/diploma na kuendelea
3. awe na tabia nzuri na figure nzuri pia
4. awe na mapenzi ya dhati aliye serious kuolewa na si mdangaji
5. kama ana mtoto anihakikishie kuwa hana mahusiano na baba wa huyo mtoto tena na si zaidi ya mtoto mmoja
6. kazi si lazima awe nayo kama anayo its ok lakini awe tayari kufanya kazi au biashara ikiwa tutakubaliana ili asikae tu nyumbani.
7. awe tayari nipafahamu anapoish naye apafaham ninapoishi
8. awe mstaarabu na ningependa dini awe muislamu
9. awe tayari kujifunza kwangu nami kunifunza ili tuweze ku copy.
10. tukishaanza kuwa karibu baadaye tutumiane picha na kufahamiana
mimi nina miaka 27. nilikuwa masomoni china nimerudi mwaka sasa na nimeajiriwa kampuni flani. si tajiri lakini ninajimudu na naweza kummudu mtu mwingine. naishi dar es salaam ubungo. natumia pombe kiasi si sana. ni maji ya kunde kimo cha wastani na uzito kiasi si sana. naweza zungumza lugha tatu. kiswahili,kiingereza na kichina kiasi. kwa wale walio serious please tuwasiliane. nasisitiza kuwa kigezo cha uzuri na umbo pia vipo na ni muhimu maana sitak mtu wa kumchezea tu.
NB: NImewashirikisha JF sababu naamini mtu ambaye tutakutana kwa jambo hili humu atakuwa serious na mwenye nia hasa. nimechoka kukosa mtu wa kuishi naye na kupanga mipango pamoja."
Juan kong
hicho kichura hapo kwa avatar ni chako? kama jibu ni ndio nakukaribisha pm nikutie vimilion kadhaa ubadil maisha yako mrembo
sasa hivi hataki hata magari ya kichina !Kwa akili yako unadhan tunajuana?
Alafu umepata shavu la china unarudi kuoa bongo mkuu kweli?
Kumbe unakaaga ubungo best, mbona kuna thread ulisemaga huijui ubungo"nimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c hawa ni watu ambao nimekuwa kwa ukaribu sana nawasoma threads zao sababu ya mambo kadhaa kadhaa. hasa GuDume the great entertainer na mwelimishaji pamoja na Da'vinci kwa makala zake kadhaa.